MTU ALIYEGEUKA NYOKA MTWARA “ANALINDA KIJIJI, UKIMUONA HAULALI NI NYOKA WA AJABU”

preview_player
Показать описание
Mwaka 1907 inasemekana palionekana tundu kubwa na kipande cha sanda kwenye kaburi alilozikwa Mzee aliyefahamika kwa jina la Mzee Limbende kwenye kijiji cha Nanguruwe kata ya Nanguruwe mkoani Mtwara ambaye alikuwa mmoja wa wazee wa kijiji hicho.

Siku chache baadae Ndugu wa karibu wa Marehemu Mzee Limbende aitwae Salum Binali Walivenga alioteshwa ndoto kwamba Marehem Limbende amefufuka na kuwa nyoka ambae atalinda kijiji hicho na hii ni kimila na desturi.

Tumefika kwenye kijiji hicho na kutembelea kwenye eneo la bwawa kubwa lililopo kijijini hapo ambapo inasemekana kwamba ndio anapoishi nyoka huyo tangu miaka hiyo ambapo anaonekana na Mtu mmoja tu ambaye anatakiwa kupokea maono ya yanayoweza kutokea siku za mbeleni kwa kuoteshwa.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Amini usiamini lkn kila kabila lina mila na destuli lkn tukifika mjini tunaita ushirikina

mrpopsuit
Автор

Walimushirikiina finnari JAHANNAM khalidiina fiiha abadaa

msumimhando
Автор

HII NDIO ASILI YA WAAFRICA. Lets go back to our roots

lore
Автор

Mnao tukana mnakosea, mzee na yeye Ana Imani take. Wewe mwenye dini Shika dini. Na ukumbuke kuwa hiyo dini ni ustarabu wa watu tu. Na ukiulza waganga wateja wao wengi ni wenye dini.

adammwita
Автор

Dini nitamaduni za watu weupe hiyo ni asili yetu weusi acheni ubwege MTU kwao

BeatricephilipKaishe
Автор

Afrika wengi wanaponda wamezoea kutangaziwa ushoga wa nchi za magharibi, wabongo hbana Wacha waendelee kujipaka vinyesi kutoka ulaya

kellymwegelingoha.
Автор

binadamu Hana uwezo wakujibadilisha kutoka katika hali aliyoumbwa na Mungu ila hayo nimashetani yanatumia vitu vilivyoumbwa na Mungu, halafu nyie mnasema eti mtu kabadilika kuwa nyoka, haiwezekani hata kidogo, ila nawapa ushauri tu kwamba acheni kuyapamba hayo mapepo na mashetani Bali tubuni sasa leo namkubali kumpokea YESU KRISTO ili awe BWANA na Mwokozi wa MAISHA yenu

jerryjuma
Автор

Waone kwanza na vibagalashia vyao eti nyoka babu. Achen shirki muogopen Allah(s.a.w) izo imani ni za kipuuz mnashindwa kumuamini M/mungu eti mnaamini nyoka. Huo ni ushetani ulio wazi

hassanjaphari
Автор

Njozi za kishetani hizo someni dini ili muepukane na shirki

mohammedalishamis
Автор

Shiriki hiyo 😏😏😏
Allah ndio muweza wa kila kitu 🙏

saumusalimuhassan
Автор

daaa barakashee yote iyo ila hauna iman na mungu wako Walimushirikiina finnari JAHANNAM

shabanimwema
Автор

Wote wanga ao uyo nyoka na uyo mzee anaemuona pkeake wote washirikna lao Moja mlinzi wetu ni Allah pkeakee

hamidmweusiii
Автор

Kuamim iman hiyo ni kumshirikisha ALLAH, mamb yetu yajayo anaeyajua ni ALLAH pekee

salummwanga
Автор

Mnamuitaji Kristo ktk hicho kijiji watumishi wamungu fulsa hiyo

georgeswaiswai
Автор

Allah awaongoe na upuuzi wenu, MOHAMMED ALLAH akuongoe ndugu yangu

KaskasTHEfinderCLIP
Автор

Asili ya Africa ni mizimu we believe you broh

welcometoeat
Автор

Wewe mzee nimshirikina sana pia laana tullah

mohammedsalum
Автор

Mi naona hao Ukiwaambia kuna Mungu Sijui km watakuelewa!!

phineruge
Автор

Hadithi hizi....Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

johnmalembo
Автор

Mnafel wapi interview haija isha video imekatka

mpulitv