Video hii ya CHUCHU HANS na mtoto wake yawachukiza wengi mtandaoni, wamuandikia maneno mazito

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Support from Kenya hiyo sio poa vitu zingine tuachie wazungu, huwa kijana akifika darasa la pili atakuwa anafahamu kuna kukiss , that why both parents should always be there special baba

official.kakajay
Автор

Kwa kweli hayo siyo maaadili ya kiafrica haipendizi kwa kweli

chainbre
Автор

Wakati mwingine wazungu wanaonewa sijawahi ona mzungu analisha mwanae kwa mdogo nazani ni chuchu tu mahaba yamezidi kwa mwanae kama kaona sawa mwacheni na mwanae kila mmoja ana malezi yake .

mwanajumaomahundumla
Автор

Hata Mimi nimechukizwa Sana na mshenzi huyu anatuharibia watoto

hakikatheneed
Автор

Miye niko kwahuyo dogo kaona atakuja kuliswa mate akala pekeake kwenye sahani ata awatazami yy anaangaika na meza🤣😍

khadijakdj
Автор

Hajafanya vizuri kabisa utalishaje mtoto hivo mhm mm sijapenda kabisa

dottohami
Автор

😥😥mambo ya uzungu wabongo tunaiga saaana upuuzi

lifeinmiddleeast
Автор

Unakuta Mtoto ana Miaka 12 hajawah kukisiwa na wazazi wake, na labda alikisiwa kitambo na hakumbuki, , Halafu anatokea boda boda mmoja hivi anampiga kiss dogo anaishia kumuota boda boda kwa miezi mitatu, unakuja kushangaa dogo ameharibika mapema sana kwa ww kumuacha akawa mshamba Kwa Vitu vya kawaida tu ... I'm Just Saying !! Nothing Personal ...

hassan
Автор

Ila jamani sio vizuri duuu mtoto hivo?? Tuache kuiga unzungu

RandB_Channel
Автор

Mchenzi tuu nwanammke wa kitanga huyu jamaa yake esco

fatmaabeid
Автор

Ushamba tu...hiyo sio kuiga uzungu! Huku majuu huwezi kuona that non sense

joycekisamo
Автор

Mimi na shangaa mnaosema wazungu hivi mnataka kuniambia kila mzungu anafanya hivi alichokifanya uyu mama hapana sikubaliani na hiyo kauli nimeshauzuria sherehe za wazungu lakini sijaona haya kwaiyo mengine tusiwe tunawazushia wazungu mengine niakili zetu ndo zinaamua kufanya jambo

sungwevalentin
Автор

Iyo ni kawaida jamani mbona vivu ikiuma fanya na wewe nakama amutaki kwedraaaa love 💘

Alkibosstz
Автор

There is nothing wrong with that period

yolo
Автор

Kanyonya midubwasha Asa unaenda unamlisha mtoto kwa mdomo sasa hivi fangasi zitawatawal

mdzainb
Автор

Hayo maneno mazito ndotunayoyataka usiogope ndugu mtangazaji wetusomee2, , , _

veenpoul
Автор

Watu is wanasema mtu wtoto wa kiume mpenzi wake wa kwanza ni mtoto wake!

Sppah
Автор

Mm naona hakuna tatizo unamlisha mtu mzima hata usaf Hana uyo nimtoto wake nakamzaaa mwenyewe kwaiy hakuna uchaf Wala sio tatiz

rayambarouk
Автор

Wa bongo bana mnamatizo huyo mtoto bado inaruhusu kum kiss kwenye mdomo ni mdogo haina tatizoy yoyote

ttt
Автор

Mi naona ni ushamba tu why why kwanini jamani

queenlinda