Bao la Bernard Morrison Yanga SC ikiitandika Simba 1-0 kwenye #KariakooDerby 08/03/2020

preview_player
Показать описание
Mchezo wa Watani wa Jadi katika duru ya pili ya Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara.

Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Raisi nampenda sana kila akienda Taifa simba anawekwa kamoko.

josephkapinga
Автор

Yanga piga kelele, ebu like apa. Tuwazidi

piuswilson
Автор

Safi sana.
Alie na bahati ndie alieshinda.
Team zote zimepambana.
Hongera yanga na hard lack Simba.
Team zote zinastahiki sifa.
Wapenzi na mashabiki wa team zenu kaeni pamoja tanianeni wala msilumbane kwa matusi.
Ukishinda furahi ukishindwa usikate tamaa.

salimharrasy
Автор

Asanteee sanaaaa magufuri maana janjajanja ya Simba umeizima

deusdedithmaige
Автор

Naona aliyesemwa kuwa si chochote anapeleka kilio kwa kina Manara

rajabukimosa
Автор

Haruna Niyonzima ( Fundi wa soccer au Baba Mzazi), Maddie Kagere ( MK 14 the terminator ya Kinyarwanda) Patrick Sibomana ( SB Machine) wa Tanzania ( Yanga & Simbi) wapi likes za Rwanda kama kweli mnakubali tunaweza

muginashema
Автор

Morsoon baba lao wana yong africans gonga like hapa

jackobhermani
Автор

Azam mnazingua sana. Mnashindwaje kuonesha mchezo huu YouTube live?

Jarbuni kubadlika. Kuna watu hawana ving'amuzi au hawapo sehem sehem zenye tv, ila wana sim, sim ambazo wanaweza kuzitumia kuangalia mchezo huo live.

Kama hamuwez kuweka live YouTube basi wapeni haki hiyo watu wengne ili wakidhi haja za waskilizaji na watazamaji

ramamabinda
Автор

Natokea kenya lakini nimeikubali yanga💪

mnatiboy
Автор

Ili goal kila saa naliangalia jamani daaaah bonge la

salmachunga
Автор

Aya Sasa atimaye ule mpira Leo ndiyo umetuwa siku hiz Simba Kama paka tu 😂

sabasumbella
Автор

Ana Jina lake saiv mpenja anamuita BM 33

AmosBPeter
Автор

Yaan magoli makali kama haya hua yanapatikana Yanga peke yake

daniellaaidal
Автор

Hii ndio Yanga, goli la BM ni mahari tosha kwa ndoa ya leo.

anthonysimya
Автор

Bernard Morrison ila Leo fei kaupiga mwng

saadnahoda
Автор

BM machine Bernard Morrison waaaaoooohhhhjuhhh

enockkitomari
Автор

Saf azam!!! Jalibuni kuweka live jamani

amosmunguatunusulamnthomas
Автор

simba wakicheza na timu inayofunguka ushindi ni mgm kupatikana kwani mabeki wote ni wabovu

kawelasaidi
Автор

Jinsia huwa zinakuaga2 yaonekana leo kacheza simba mwanamke😁😁😁

abdullahhashimu
Автор

Hahahahahahah mm acha nifrah hii ndio yanga bana

mickydadimamba
welcome to shbcf.ru