BAD NEWS: KATIBU MWENEZI wa CHADEMA AUAWA KIKATILI, RPC SINGIDA Athibitisha..

preview_player
Показать описание
BAD NEWS: KATIBU MWENEZI wa CHADEMA AUAWA KIKATILI, RPC SINGIDA AThibitisha..

Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kata ya Mhintiri, Jimbo la Singida Magharibi, Nicholas Andrea Gui, amekutwa ameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana jana, Jumanne, Oktoba 7, 2020, majira ya saa moja jioni.

Taarifa hiyo imetolewa na Hemedi Kulungu mgombea ubunge Singida Magharibi (Chadema) ambaye amesema: “Katibu Mwenezi wa Chadema Kata ya Mhintiri, Jimbo la Singida Magharibi ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga kwenye mashamba yake. Amepatikana akiwa amefariki. Nimepata taarifa wakati huu nikitoka kwenye mkutano wa kampeni Kijiji cha Mayaha, Kata ya Minyughe. Nimewasiliana na OCD Wilaya ya Ikungi,” amesema Kulungu.
Na Felista Massae...

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Afande unarudia ukisema mume wa marehemu sijakuelewa kwani marehemu alikuwa mwanamke ?

shabanadam
Автор

Kumwaga damu ni laana kwa vizazi vyako 4.Tumuogope MUNGU.

happinessmwenda
Автор

Inasikitisha Sana wapizani tunaonewa sana

isayaezekiel
Автор

Haya mambo jamani inafika muda unatoa roho ya mtu kweli

tusajigwekanemela
Автор

Mmmmh mbona sijaelewa maaana police kasema mume wa marehemu ndie alie fanya hivyo, hapo hapo aliye fariki ni mwanaume naomba kujua marehemu alikuwa shoga au??

agneskigongo
Автор

Afadhal kama ni wivu wa mapenzi na siyo siasa

joshuajoel
Автор

😂😂😂Nacheka kwa kununa kini kiukweli nawapa pole wenzangu na mm tuliohic ni mambo ya kisiasa. Mwandishi ww umetuweza kweli yaan.

kalufunyangenyakinyungu
Автор

Daah hatari sana, tunakoelekea sio kuzuri aisee wahusika wakamatwe

afropatriot
Автор

Innalillahi waina ileyhi rajiun siasa mbaya maisha mabaya .wa Tanzania tulinde amani.

zainabumwagiroabdallamwagi
Автор

Chadem hao wamemuuwa wenyewe washenzi hao

abubakarishoo
Автор

Daah aisee ni bora ulivyo wekwa wazi maana hapo watu wengi tulidhania ndio wanataka kusingizia mambo ya siasa

kakamau
Автор

Inallilah waina illaina rajuu, kisasi haku, hali itendeke

ukweliunauma
Автор

Media kama hizi zinafaa zifungwe.Acheni kuandika vichwa vya uzushi

khadijahamisi
Автор

IPO siku tutaelewa Na tu kwani ccm hawana wivu wa mpenzi hadi wakifa mseme ni cdm wameua?

robertnsambila
Автор

Msikilizeni kamannda mpaka mwisho mtagundua kitu mkiwa makini

paulomichael
Автор

Angeuwawa wa ccm mngewakamata viongozi wa upinzani woteee, lakini kwa sababu ameuwawa wa chadema na upelelezi umeshakamilika kuwa ni wivu wa mapenz, ila kumbukeni kuwa MUNGU yupo anayaona yotee hayaa yanayoendelea katika Nchi yetu

winifridalusinde
Автор

Mungu wetu tusaidie wenye dhamiri mbaya tunakuachiya wewe wasivuruge Amani ya nchi ya Watanzania

ashtube
Автор

Tusipotumia busara mapema huu moto utakuwa mkubwa afu itatucost, , tunatoa majibu mepesi kwa jambo zito lenye kugusa hisia za watu!

MohamedHassan-hrcb
Автор

Polisi waongo ccm na polisi Lao moja hayo ni maji ya kisiasa ccm wameua napolisi wanawapotezea

yaqoobalhinai
Автор

Akiuawa wa chadema ni wivu na masuala ya mapenz lkn akiuawa wa ccm ni mambo ya kisiasa Cdhan kama atakamatwa MTU hapo kama wanavyokamatwa watu wa chedema anapouliwa MTU wa ccm

denisimaliyaweni