Jubilee imewakabidhi wawaniaji kutoka Embu na Kirinyaga tikiti

preview_player
Показать описание
Hii ni baada ya wawaniaji hao kufanya mazungumzo na kukubaliana
Miongoni mwa waliokabidhiwa vyeti ni Lilian Omollo anayewania useneta
Omolo alikuwa mmoja wa washukiwa katika sakata ya NYS
Baadhi ya wawaniaji hata hivyo wameendelea kulalamikia mfumo uliotumiwa
Рекомендации по теме