MASHABIKI WA DIAMOND Waishambilia Page ya BET Baada ya Diamond Kuchaguliwa Kuwania Tuzo

preview_player
Показать описание
#BETAWARDS #TUZO
Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.

FOLLOW US
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Unatisha sana bwa mond plantnum pepelusha bendela yetu

m.honlinetv
Автор

Atawania na mav. Bet. Hana kila kila kitu

silassilas
Автор

Diamond platnumz ni next level kabisa msani namba moja duniani

kaburaakbar
Автор

Apo kwa SADALA wame kosea iyo nafas inamfaa harmonize_tz

mussataliye
Автор

Acheni Sifa apa Kenya OG Khaligraph Jones alikua Nominated na haturingi..Tz Watch Tembo Konde 🎶 big thing

emanuelrandu
Автор

Sadala tuzo ataiskia tu hiyo kapangwa na majini wa mziki🤣🤣🤣🤣

naseebalbaran