Zblack Braah Ft Shilole - MTOTO WA KI - AFRIKA REMIX (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Zblack braah ni msanii wa kizazi kipya mwenye makao yake Europe.
nikijana anayejituma sana nakuipambania sanaa yake ya mziki ifikie malengo.

leo ameachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Shilole nyimbo inaitwa MTOTO WA KI AFRICA

ni nyimbo inayoelimisha na kusifia mwanamke wa ki Africa , na ina burudisha sana .
ime toka leo rasmi tarehe 25.04.2020

instagram: zblackbraahofficial

page: zblack braahofficial

twitter : zblack braah

DIRECTED BY
SimppaProduction

#joto #Zblack #braah #Zblack braah #diamond platnumz #David #wizkid #tiktok #patoraking #black #the black #Adidas #Nike #alikiba #wasafi #kingmusic #bomboclat ##festival #congolaise music #bongo fleva #tanzania #congo

#ZblackbraahftShilole #MtotoWaKiAfrika #SimppaProduction
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tulioletwa na jumalokole tunalike song is lit

hellenimmaculate
Автор

Shishi baby nyimbo nzuri sana beat kali video yakibabe hongereni utazani zblack braah ni mnigeria

MmbondoHolland
Автор

Dope video bro from FRESHKID GROUP AWESOME

princejrzm
Автор

Nyimbo zuri sana kweli Zback braaaa kwangu ume fika 💖💖💖💖💖💖❤️🙏🏽

Sugarbeauty
Автор

Respect kabisa every time naiskia Zblack ft shishi baby

sebastienmulani
Автор

Shishi Baby 💃💃💃 keep it high #zblackbraah. Well done mtoto wetu wa kiafrika... nawe nyota yako izidi kungaaa ❤❤❤❤❤❤

clariceLu
Автор

Hii ni next level bro Braah#
Umeonyesha viwango vingine. Big up sana sana. You're the best bro!

MsambelwaTalkshow
Автор

wow!!!! Big up Bro, """
Watoto wa ki Africa we have your back.

motherof
Автор

Funga domo, ngoma kali video topppp, .. kiufupi una juwa sana zbraah 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

dems_media
Автор

My g the best in the world from Denmark 🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰❤❤❤🔥

bboyrashsensei-official
Автор

CONGRATS ... #ZBLACK BRAAH ... #SALUT keep it UP.... 🔥🔥👍👍🎼🎵🎶

twalebentertainemt
Автор

Hongera sana bro kwakazi nzuri sana video kali sana umesha vuka daraja

mitachi_boy
Автор

KEEP ON PLAYING THIS " BANG !! " .... I LOVE IT ... WOOOH !! ...Keep it UP " ZBLACK. RESPECT

twalebleboss
Автор

Great stuff bro 🙌🏽 we wanna see more of this 🔥🔥🔥

kingblaise
Автор

Kijana ukiona watu kama sisi tumekubali jambo yani himefika panapostahili. Kwahii ngomayako umepanda viwango vingine . Big up keep focus on your job usifate watu wenye wameshindwa maisha kusema kwaho ni machonzi yasamaki. We endelea kuwaonyesha viwango. . Tuko pamoja 💪🏽

FAUSTINNGOLO
join shbcf.ru