Wakati nilikuwa mdogo - Orchestra Marquiz

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ooh NAMI chozi nahisi lataka kunitoka nikikumbuka kazi hii adhimu ya marquiz miaka ya themanini Jameni.Kupiitia rtd tulipata nyimbo hizi na nyinginezo kutoka jijini Dar

NdigaWilkinson-rmpq
Автор

Hiii nyimbo kwakweli nikisikiliza nakumbuka mbali sana

lalisalistonfrancis
Автор

Kwa kweli tuwapende wazazi
Hivi Sauti hizi zilipangwa kwa ufundi wa namna gani,

juliusmagembe
Автор

Wakati Dunia ilikua Dunia kabla ijawa gunia, , , , zilipedwa

williamsagala
Автор

Enzi hizo nikiwa shuleni mughanga PR/S singida namkumbuka mwl mkuu wakat huo mwl kinda akiba mwl faya mwl Anton na mwl sekajingo hasa mwalimu wangu wa darasa maaru sana mwl shangazi enzi zinapita muziki unatukumbusha

sebajohn
Автор

Nakumbuka mbali sana enzi hizo palikua patam

henrymruma
Автор

Daah Yan mbaka njaaa siisikiagi nkiskilizaga nyimbo izi

HabibuThabiti
Автор

Wimbo huu ni tamu sana si choki kusikiliza napenda huu wimbo sana 2023 naisikiliza tuu

twalalilian
Автор

Nakushukuru sana bwana mgalula Kwa kazi kibao unayo yafanya kutuletea nyimbo za thamana kweli.Nilitulia tulia nilipoanza kusikiliza.Endelea vivyo hivyo.Pia naomba tabora jazz band ASHA usifiate mambo ya Dunia.

PhillipMwanthi
Автор

One of my favourite song from madilu system

JosephMitau
Автор

Mmoja anipe orodha ya walioshiriki kuporomosha kibao hichi kidichochuja maudhui na utamu wake ili tuwaombee dua kwa Mungu

henrychaula
Автор

Yakima kazi ni msingi was maisha vijana fanyeni kazi

SimonNgweta
Автор

Hii ngoma inanikumbusha mbali Sana mwaka 85 bd kijana mdogo

henrymruma
Автор

Mzee nguza, kasaloo kyanga, kyanga songa, htr sana

maxlupapa
Автор

Kama bado unasikiliza Goma hili in 2024 gonga like twende

MoudyObey
Автор

Mdundo murwa mno..yanipa ufafanuzi mahiri maishani

gksabali
Автор

Irikuwa mchana nimerudi shuleni nasubiri chakura ndiyo zinapigwa kwenyekipindi chapokea saramu

MikerRojar
Автор

What a great composition! 2022 ....on n on still listening

johnndungu
Автор

Nakumbuka kipondi Chapokea Salam RTD hapo likua shambani nalima

salimiddi
Автор

Dah Wimbo huu umenikumbusha mbali sana jamani

christinamwandri
visit shbcf.ru