ANKO NZALA ATAMBA BAADA YA KIPIGO CHA YANGA/SIMBA UBINGWA WA KWETU/AZAM LEO WAMETUPA RAHA VIBAYA MNO

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Sisi tukifungwa huwa tunakubali, lakini wafungwe wao wanatishia kuhama nchi.

sosomacharles
Автор

Huyu dogo ana umr gani ana kera sana simba nguvu moja😂

abuumaryam
Автор

Mmmhh huyu naye mfupi kama mavi ya asubuhi

salumchoma
Автор

Anko unawauz watu walisema wanafungajwe

TomasiklistophaMwinuka
Автор

Mi nahama yanga na hamia mashujaa kwakweli dah

ismailkhamis-ksgp
Автор

Ilkuwa 2:0 penalty refa kaiweka mfukon😂, utopolo hii inafungwajee, kiuhalusia kuanzia match ya kengoald, simba na cost hd sasa wangekuwa na point13/14😅

MasanjaMkama-bdrc
Автор

Ndoo maana uwezi kua aka akana akili kanachekacheka kama kameona mbooo

remidusmwanandenje-yygs
Автор

Kuna muda utafika nitaachana tu na mpira yanga sio baba yangu yanga sio mama mtoto wangu yanga sio chochote kwangu mpaka inifanye mm nishindwe kula nmeacha vitu vingi kisa kutaka Amani ya moyo nikaibakiza yanga nikiamin ndio furaha yangu Leo hii mnanifanya nashindwa kula na kulala😭😭

Prince-rafael
Автор

Yan makolo ni makolo t sa kinawachekesha nn

faidha