Baba Mzazi wa Nandy aibua mapya 'Mama Nandy alitoroshwa na Ujauzito wangu'

preview_player
Показать описание


Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jaman tutafute Ela kumbe ndugu watakuj wenyew

official_kibingi
Автор

Jamani huyu baba muongo unaharibu amani ya familia

theresiacostantine
Автор

Yani watu kama hawa wanatakiwa wachukuliwe hatua kali sana.

mwanaidsalehe
Автор

Ingekuwa Nandy kajamba nani ungemtafuta?

gracemalatwe
Автор

Endelea kufuatilia story hii hadi ni mengi ya kujifunza katika hili.
#penyelafricana
#sevenismafrica

penyelafricana
Автор

Mbona Nandy ndo Kafanana Sana na Mzee Charles, Acha uongoo

millymilly
Автор

Huyo rungu la kichwa alilopigwa limemuwehusha kidogo

videralfred
Автор

Angekua nandi mtoto wakwanza kwamama yake na baba yake tungejua kweli mtoto wako lakini nandi niwapili kuzaliwa kwa baba na mama yake nayo ukoo koo uwa zina fanana utafungwa bule kwa kutaka kualibu family zawatu

habibaseif
Автор

Huyu ni sugu la mjini broker wa madini pale Arusha Hana ukubwa wowote tunamjua sana

michaelmotika
Автор

🤣🤣🤣🤣🤣 acha nicheke tu wee baba Acha kuharibu maisha ya watu

alaikamyale
Автор

Mjonga kweli eti sijai muona mara alikuwa anaitwa nandera ulimpa jina lini na hukumuona?

sharonke
Автор

Mzeee we nifaraa saana unajua maana ya kuzaa

juliethgerald
Автор

Kapime DNA mzee ukate mzizi wa fitina.

maswamills
Автор

Hiimizee ilivyokuavijana ilikuainakulabatatu utakufakmyakmya blakelele

williamwilifred
Автор

Hivi wee mzazi unatoka tuu ulipotoka unataka mtoto awe wako ?? Kwani kadi ya Gari hiyo?? Wee mzee fala sana

shaqdizo