TARZAN 《15》

preview_player
Показать описание
SUBSCRIBE BONCENA GOT TALENT
FOLLOW US IN
+255659096471
OR BONCENA GOT TALENT
INSTAGRAM; BONCENA_TZ
IIKTOK ;BONCENA_TZ
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wanaojua kuwa Tarzan ndiye atakuwa mrithi wa chief kujeni huku❤

NaomiMachukhu-wdxl
Автор

Nakubali luta man gonga like kama nawe unamkubali

AminaKhalfani-ibsh
Автор

Mganga Baisa neng'eneka tu utakuja kuuponza leo umechezea fimbo za makalio kula chuma icho😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Naima-vx
Автор

Nakutambua kwa kusukuma hii episode right on time.hongera Ruta man

georgekinyamu
Автор

Kuna mengi hapa duniani Kuna mengi haiye haiye jaman muimbaji alieimba huu wimbo anitafute mm Brenda anioe 😂😂😂😊

ميريم-طس
Автор

Hii ni nginja nginja 😂😂😂 Mganga baisa kwisha 😂😂😂

Awarewell
Автор

Ctanoz Kutokea Kenya🇰🇪, .nawafuatilia kwa karibu Sana kwa KAZI yenu brothers and sisters

StanleyBony
Автор

Kipepeo we muongo cn 😅😅 haya iyo shepu iko wapi kwa tifa 😂😂😂

OmanBarka-xi
Автор

Kweli mganga kaamua anataka kuwa kiongozi wa kisangati lakni sasa naona kuna kipengele kirefu sana maana kazugukwa nawatu hatari sana hongerani wote kazi nzuri 🎉

JumanneZengo
Автор

ongera sana boncena, kumusaidiya mwakinego, daah sapothi kabisa,

MUNGUIKObyendaDieudonné-sp
Автор

Wanao kubali kana kwamba Uyo dada anadanganywa n'a mnganga dondosha like

NabiiYakobo
Автор

Kijana WA porini haongei ila amekufiwa na kama kila mwanamke aliyekutana naye. Kina viherehere kama kijana WA chifu hawapati kitu😂😂

edwinabuga
Автор

Jamani na Mimi wa 74 naomba like hata moja to nawapenda sana wote ❤🎉

SophiaMfilinge
Автор

Nmekuja nkiwa nimechelewa lakn nipe likes zangu, , , alaf km unamkubali Rutaman Eka like🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

fortunegerishom
Автор

Nakubali mwakinego kwa ushauli Bora kwa sapna 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

SureymanRashidi
Автор

Mwakinego ndiye atakuwa chief wa isangati.

VincentObwocha
Автор

Ummy jamani, kitakukuta kitu na huo mdomo mrefu😂😂

Mohabmts
Автор

Jamani kazi nzuri sana sana, sichoki kui tazama TARZAN

doublehenterprise
Автор

Uyo mganga baisa akome kumzingishiya Mwakinego 😂😂😂

webnet
Автор

Wa kwanza leo like zangu nipewe tafadhali

VeronicaWairimu-qzkj