Marioo - Raha ( Covered by OFFICIAL SAI)

preview_player
Показать описание
#Offiacial Sai #Ngomma

©2020 Administered by Ngomma VAS Limited. Song: Raha (By Marioo)
Artist: Official Sai
Produced by: Shirko (Shirkomedia)
Directed by: Petrooz
Covers of: 2020
Arranged by: Shirkomedia Entertainment
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

dah bonge ya nyimbo kama unaikubal hii nyimbo gonga like hapa ❤❤❤❤❤❤

fatimamohammed
Автор

Yupo sawa sana tabasamu anajua harbaababu big up kipaji kipo hata nasi tume enjoy

hamadkipenzy
Автор

Kama umeangalia zaidi ya maramoja gonga like👍

divaimafuru
Автор

Sauti mashallah hongera sana dadaangu#sai Kenya S.M production kazi safii 100%

babally
Автор

Una sauti nzuri sana umefanya nizidi kuupenda huu wimbo..nimeusikiliza wimbo mara 50

salehabdul
Автор

Yani ndo mana mungu katupa masikio tungesikiaje sauti yako dada 🙏😘😘😘😘😘😘😘😘😘

ariajohn
Автор

Mara ya 3 hii naitazm, kpaj unacho Dada ufanye utoe nymbo, mashbk zako tunasubr

tulyiddy
Автор

I know u a star soni pray u shine safe💯💯❤️vocals, 🙌🙌

KidtucciTG
Автор

Dada yangu natamani nikupe hata zawadi kweli, umenifanya mpaka nimetokwa machozi #Good melody #Good voice #Good swagger 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 u welcome USA my lovely sister

Rizikinondo
Автор

Yaani siku fundi akiwa na fundi hapakoseki kitu...sauti yenye ufundi unaskiza ady mwili unasisimka...#saikenya
#shirkomedia
#atlmusic
#akeelahofficial
#amoury001
#bossmarto
#tsofamaels
Kazi safi sana sai...time yako shine

bellomusic
Автор

Motooo
3times a day...enjoying fuluu bin fuluuu....pigwa shoti!...noomaaa Sana, burudani classic hii..
Ukipata pa kuegemea kuanguka ni mwiko....#SAI KENYA another pure talent detected..
We are always available for best support... #class of 2020
#2020 haina kufeli

Joramkatana
Автор

Unaringwa umepimwa...eeeish...only the start would tell u its a talent na nusu...babe you glowing honey bigups 🔥🔥🔥

officialadasa
Автор

Dada you sing well mno, , , will you praise God for the voice you have, , mwimbie Mungu lady he blesses you with good voice

peterbukangara
Автор

dada yupo juu xan jmn like zake kwa walio muelewa!!!

ashufaamlalila
Автор

You did justice to the song, I believe Marioo is pleased with it.

simonrizikimwamuye
Автор

Silahaa nyengine hatary kutoka @#ShirkoMedia...🔛 🔝💥✅✔✅🇰🇪

amoury_
Автор

That's my sis doin major stuff...okkkuuuurrrr siisss keep it upppp

mercie.m
Автор

🇰🇪🇰🇪🇰🇪 to the world, , , sauti nzuri sai, , twakuombea mema dada

zacharyomere
Автор

Sauti safi kabisa congratulations... I am your number one fan

williamsmureithi
Автор

Weweeee hatareee my dear more 👌👌👌👌👌👌sio kwa kurembua huko my, nice love it

aishajeffah
welcome to shbcf.ru