filmov
tv
FAHAMU MAMBO 5 KUHUSU PANYA

Показать описание
Panya wanasababisha madhara mengi sana kwenye ufugaji na maisha ya kawaida kwenye majumba yetu kama vile ,kuharibu miundo mbinu ya umeme,mabomba ya maji,kuta na sakafu pia husambaza magonjwa kwa wanyama na pia sumu kwa binadamu kupitia kinyesi,manyoya na mikojo mwisho panya wanakula na kumwaga vyakula hovyo hovyo.Ndio maana kuna umuhimu wa kuwafahamu