Raha - Arrow Bwoy X Nadia Mukami (Official video) sms skiza 7301781 to 811

preview_player
Показать описание
#ArrowBwoy #Raha #NadiaMukami

THE TWO LOVE BIRDS AT IT AGAIN !!

ARROW BWOY : a multi-arrow- winning Afro Dancehall artist from Kenya - is releasing his widely anticipated album. The 14- track masterpiece is titled FOCUS and it features melodic contributions from artists spawning the globe, Recorded in English, Swahili and Luganda. The Focus is a homely and reflective compilation that delivers a reflective, prophetic and encouraging experience to listeners.

Arrow Bwoy linked up again with Nadia Mukami to bring you another fire collabo titled RAHA of the FOCUS album

Written & Performed by: Arrow Bwoy & Nadia Mukami
Audio Produced by: VickyPondis

Connect with Arrow Bwoy:
+254718359159

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Baby you can lean on my Shoulder anytime you feel low low
Baby you can call me a Soulja sitaki nikuache we solo


Mapenzi matamu bana sijazoe kubembelezwa
Unavo ni Dekeza bwana
Tupendane nkupe wana kina safari na Lola wakuite na wewe baba

Ni vingi tumepitia matusi na wivu nimejionea nikavumilia jina pesa nilizopata na mimi nikakuvimbia
Ila kwako sitoki nishapata wakufa kuzikwa mwenzangu kwa kweli siondoki


Jamani kupendwa Raha …Raha
Kupendwa na wewe Ali
Kupendwa Raha.. Raha

Jamani Kupendwa Raha …Raha
Kupendwa na wewe sheri
Kupendwa Raha ..Raha


Love is a beautiful thing
Ukipata unaempenda walahi it’s a wonderful thing beiby
Nadia my beautiful Thing kwa penzi lako mimi nimelowa
Ndakukunda my beiby

You forever my beiby
Tafouti zetu tuziweke Kando
ukiniacha nta dedi
Milima na mabonde
nimepanda nikashuka bado mi narudi Kwako
Aaaah mi narudi Kwako Beiiiiby


Jamani Kupendwa Raha…Raha
Kupendwa na wewe Sheri
Kupendwa Raha … Raha

Jamani Kupendwa Raha… Raha
Kupendwa na wewe Ali
Kupendwa Raha

Aaaah yeah eeeiii

Baby you can lean on my Shoulder anytime you feel low low
Baby you can call me a Soulja sitaki nikuache we solo

Jamani Kupendwa Raha…Raha
Nadia nikumbatie beiby
Kupendwa Raha..rahaa mai mama mama ma
Vile mi napendwa Raha
Beiby squeeze tease me …. Rahaaa

Dem call me Arrow Bwoy

ArrowBwoy
Автор

I love Nadia walahi.si hata Leo mnipe like jamani

henrykiptoon
Автор

Arrow bowy likes zake hapa na comment za mukami hapaaaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

russianz
Автор

You rem the time arrow boy alikana nadia live on tv.and now hes back cause shes more famous and successul.i dont trust the 😘.men dont change

puritykathambi
Автор

Earth is Hard, Yaani Tulicheswo, Anyway of importance is Alive! Hii ngoma inatupea raha 😍😍 Wenye tulichezwa kujeni hapa

LayonMedia
Автор

Everyone who reads this, we don't know each other and probably never will but I wish you all the best in life.

kelvinkiptoo
Автор

KING ARROW LET'S GO WOLRDWIDE TEACHER KONDE 🔥🤴

manexking
Автор

Wapi likes za NADIA MUKAMI.Her vocals are on fire

xeph_kiddo
Автор

Aki nawapenda tu sana, ,,my love Nadia I really love your voice aki, , ,

florencealbert
Автор

Hii vitu ya mapenzi mujiekeenge ..please We only want music from you guys..hio maisha ingine mujitegemee...

AMAZONBURGAINHUNTER
Автор

Nipeni like za watanzania tusaport majirani zetu wakenya!music mzuri

stellauhagile
Автор

@nadiamukami....it's a hit ....8 million 🔥 🔥

sannygboymusic
Автор

Radio love was and still is a beautiful song ..now here is another hit🔥..kweli kupendwa Raha 💞💞

shikskaranja
Автор

Haki nadia nakupenda sana mimi ni msomali

adnanaali
Автор

Wapi like ya Nadia mukami hapa🥰🥰 all the way from Tz

dladchalle
Автор

I wish this couple lots of love, happiness and peace. May you age together like Nameless and Wahu.❤

sallymwasi
Автор

Aise haka kadada nakapenda sana (Nadia💥💥)🇹🇿🇹🇿

untouchboymsafi
Автор

TALENT. WIZKID HERE IS ARROW COMING FOR YOU.🔥🔥🔥🔥🔥 ITS A HIT A FOR SURE. NADIA X ARROW 🔥🔥🔥

Joel_jeff_thedrummer
Автор

Arrowboy killed on this and nadia as usual did it again

xtashrayvash
Автор

This song is from deep down heart..you mean those words..we wish you the best guys💯💯

martinnjuguna