AHMED ALLY:WANAMSAJILI KILA MWAKA LAKINI BADO YUPO SIMBA/CHAMA NI WETU/TWENDENI TUKAUJAZE UWANJA

preview_player
Показать описание
Leo tarehe 1 agost ni siku ya ufunguzi wa hamasa rasmi kuelekea Kilele cha Simba day tarehe 6 agost uwanja wa Mkapa Dar es salaam

Hamasa hizo zinazinduliwa uwanja wa Buza kanisani zikiongozwa na meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Good morning ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ simba dey umoja ni nguvu mungu hibariki simba yetu ipate ushindi kwa kila mechi hitakayo cheza nayo sims tushinde isharaa

zubedaali
Автор

Bado Makolo mnapambana kutafuta raha😂😂😂

AlbanLibaba-zzjc
Автор

Yaani msimu unaokuja tunawakata KICHWA kabisa, maana MKIA tulishawakata...!

ismailmasoud
Автор

Huyu ni msemaji kilaza sana, Ukiona msemaji anasemea upinzani ujue Timu husika imechoka .hata msimu ujao ubingwa wataendelea kusikia redion

imatisatv