KOFIA YAMPONZA HADI AFARIKI, DADA AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA 'NI KAWAIDA'

preview_player
Показать описание
KOFIA YAMPONZA HADI AFARIKI, DADA AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA "NI KAWAIDA"

Kijana mmoja anadaiwa kupigwa hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kofia aliyokuwa ameivaa..

YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:

GLOBAL RADIO TV:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Watu ni wabaya sana, yaani utadhani hawakuzaliwa na binaadamu, unamfanyia binadamu mwenzio ukatili hata hofu ya Mungu 🙏 huna, duh mungu huyu mwenye upendo, huruma na mtenda haki hawezi kuwaacha salama kabisa hawa mashetani, poleni sana wafiwa wote!

ashurabakiri
Автор

Polen sana wafiwa nawatanzania wote kwaujulmla kwa huu msiba wauonevu

ramadhanisuru
Автор

DUNIA haina huruma kweli...kofia shing ngapi paka soo sad kuona vijana wa cku hizi wanauwana kwa sababu ndogo lillah wa innah ilayhi rajiuun"

muniragambere
Автор

Poleni sana jamani ndg jamaa na marafiki

masoudyrashidy
Автор

Keko Mwanga ni Keko ya mwisho katika Keko zote

mwajejasson
Автор

Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun🤲 Kwanini Jamani Tz watu wanakuwa na horo ya kinyama kwa vitu vidogo wapi tunaelekea Oooh Allah Tustiri Wa Tz wote na utupe upendo na Amani😢😢😢🤲

marinamooh
Автор

daaaa.atali sana poleleni wafiwa wote

hadijahmwajombe
Автор

Mtihani mkubwa kijana mdogo wamemkatili duu mungu yupo watanzania kaa mbwa duu yaani kitu kidogo wanauwa siwapendi kwenye damu

TeamKRX
Автор

Duni a iko mwisho wenyew tunaona bora kuishi nawanyam wakar kuriko binadamu 😏rooo

Moon-wfec
Автор

PAJENGWE KITUO KIDOGO CHA POLISI HAPO NA KUKOMESHA BIASHARA ZOTE ZA BAA ZOTE HASA ZA VICHOCHORONI, ULEV WA MADAWA PIA HUENDA UKO HAPO ALF WANANCH WEMA TOENI TAARIFA SAHIHI KWA JESHI LA POLIS KWA YALE YOTE MNAYOYATILIA SHAKA

mbwanarajab