SULTAN KING AKIZUNGUMZIA UKIMYA WAKE NA VIDEO YAKE YA SHIKILIA.

preview_player
Показать описание
Msanii Sultan-King kutoka Zanzibar ambaye kwa muda amekuwa akifanya vizuri katika ulimwengu wa Muziki Zanzibar

Tanzania alikuwa kimya kwa muda na kurudi kwa kasi kupitia nyimbo yake mpya ya "Shikilia" ambayo video yake

alifanyia Shooting South Afrika chini ya Director Msafiri wa KWETU STUDIOS.
STALLION TV iliweza kufanya naye mahojiano juu ya ukimya wake pamoja na kuja tena upya kwa mapokeo mazuri ya wimbo

wake wa "Shikilia'
********************
USIACHE KU SUBSCRIBE: STALLION TV.
********************
Рекомендации по теме