filmov
tv
Vikosi vya Amison vimeelezea kwamba mji Barawe ni tulivu na hautarejea mikonono mwa Alshabaab

Показать описание
Vikosi vya Amisom vimeelezea imani kwamba mji wa Barawe ambao ulikuwa ngome kuu ya kundi la Alshabaab hautarejea tena mikononi mwa kundi hilo la kigaidi. Wakizungumza na mwanahabari wetu Mohamed Mahmoud wakiwa mjini Barawe siku chache baada ya kuuteka, baadhi ya makamanda wa amison wamesema ubora wa mji huo ndio uliwavutia Alshabaab na sasa unafaa kutumiwa ifaavyo na serikali ya Somalia.