Kongamano la Wajasiriamali-SIDO

preview_player
Показать описание
Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) waliandaa kungamano la wajasiriamali kwa lengo la kuwapa elimu kuhusu matumizi sahihi ya kemikali katika uzalishaji wa bidhaa katika Ukunbi wa NSSF Ilala. Mgeni Rasmi katika kongamano hilo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema ambaye kwa niaba yake aliwakilishwa na Afisa Tawala wake ndugu Jabiri O. Makame.
Рекомендации по теме