MAAJABU: KIJANA AIBUKA NA FIMBO YA MIUJIZA, INAANGUSHA WATU, KAMA NI MZINZI INAKUUMBUA, INATIBU WATU

preview_player
Показать описание
#millardayoUPDATES
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wale tunaosema ili #tuamini fimbo isimame yenyewe hewani tugonge #Like

jumongjr
Автор

Allahu Akbar tuliopendezwa na hii historia ya Shekhe Rashidi Tugonge like apa kwaajiri ya

shabanmjunga
Автор

Ikawe ya kheyr in shaa Allah fimbo Mwenyezi Mungu nd mjuzi zaid

zuwenakallanga
Автор

Ulipitia maisha ya shida mwenyezi mungu akakujalia
Hivyo mwenyezi mungu anyimi muja wake

almuqadimtvhassanali.
Автор

Wa tanzania ma sha Allah wanabarikiwa, mitume pia wako nao, DAH Sasa fimbo ya AJABU, MA SHAA ALLAH.

abdulbaryaljabry
Автор

Namshukuru sana Bwana Yesu hana miujiza ya ubatili namna hii, muokoke achen kutumia majini

ivonaevarista
Автор

Subhanallah! Innalillah wainnailahi raajiun msiba mkubwa ni shirki hio allahu aalam

sharifaabdul
Автор

Fimbo hiyo pia itumike katika kujua watakaoiba kura waumbuke hadharani, Bi idhni LLahi, Ahsante!

khamisali
Автор

subhanaallah!!! Miujiza y'a Allah hiyo hao ni watu special WA Allah wanna Karama Kubwa hao

hafifeali
Автор

Hahaha! Nimecheka kweli jamani.do! Ivi mnazani mungu ni shemeji yetu? Mbona mnatumalizia MB zetu bule mnamiliki majini alafu mwasema fimbo ya ajabu.

tedyjoseph
Автор

Jamani mie sijawahi pata likes humu em leo kdogo nipeni na mie

khalidgumbo
Автор

Watu wanashukuru jina la Mungu hapa kwa kitu gani na hapa hakuna uungu wowote bali ni majini na mkuu wao ibilisi ....Mungu hajidhihirishi kwa upumbavu kama huu...kuwa na maarifa ya Mungu wanadamu.

fidelityagent
Автор

Wale tunaamini Mungu aliye mbinguni gonga like na comment fupi fupi mkipita sasa mm nataka atumie hiyo fimbo kutuondolea corona kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪ndio niulize maswali kwa kina

hellenmpapale
Автор

Masha allah tabarakallah..mwenyezi akuongoze insha allah

zunirasalim
Автор

sharifuu.. twende sawa waislam. naitaj. like yako. apa shekh

obamachamwino
Автор

Kuhukumu si kazi yetu wanaadamu
Tuseme Maa shaa Allah hii ni kazi ya Mungu

hassanmsipi
Автор

Poleni mnachezea mashetani et Mungu ndo kakupa!!! Tubu uokolewe bro Yesu anakupenda

malaikawatatutv.ufunuo.
Автор

Mungu tujaalie mwisho mwema.
Maana hizi ni nyakati za mwisho .

neemakaluwa
Автор

Mungu ni mkubwa anaye kubali mungu ni mkubwa agonge like

kabumbaaldjimmy
Автор

Hayo ni mazingaombwe hayahusiani na mungu hizo nguvu za giza hazihusiani na mungu mwenye akir timam ataelewa

elbaricktv