Gambosi: Makao makuu ya wachawi

preview_player
Показать описание
Kijiji cha Gambosi ni mojawapo wa vijiji vilivyo na sifa ya uchawi nchini Tanzania. Katika makala hii ya vidio ya sadiki ukipenda, mwandishi wetu Veronica Natalis ametembelea kijiji hicho kubaini ukweli wa madai hayo. Kurunzi 15.6.2019.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Amen amen. Uchawi upo na wachawi wapo, wanga, washirikina, majini, mashetani na mengine mengi. ( walakini dawa ya yote hayo niii jinaa la YESU aishie Milele yoote) sema Amen kubwa. Amen.

amaninaupendo.
Автор

Km umegundua mzee masuka ni mchawi gonga like

edwinelias
Автор

revokatusi Kalaveri wa Lubanda Busanda-Geita

Asanteni DW kiswahili kwa matangazo yenu

revocatusikalaveri
Автор

Duh kumbe hii story ni ya kweli hatari sana, hongera DW kwa ujasiri na habari

jsmfarms
Автор

Nimeipenda sana sitor yenu maana imekua fup na tam zaid saaf sna

harunimfaume
Автор

Sasa Mnatangaza uchawi Duuuuh....inabidi tufanye kazi ya kupelekwa kwa Injili ya Yesu kristo.

victormtani
Автор

Gambosh ni makao makuu ya kichawi na pia wana magorofa marefu mno yenye vyuo vya kichawi, , , viwanja vya ndege, magari, , n.k.
Kwa macho ya kibinadamu huoni haya yote, , .
Lakini UWEZA NA NGUVU JUU YA YOTE HAYA YA KISHETANI NI NGUVU YA YESU KRISTO TU.

reality
Автор

Huu ni ujinga wa kuamini kwa kukosa elimu. Uchawi ni sayansi, tungekuwa na power hizi basi Tanzania hakuna yeyote angetuchezea hata kuibiwa madini yetu. Huu ni upuuzi wa kukosa elimu na kuamini vitu ambavyo havipo.

gracegrace
Автор

Asante sana Dw nimejifunza vingi kwa muda mfupi.!

idawakisambivi
Автор

Subhannallah, mmmmh waandishi nyie mpo tu

saumuhassan
Автор

Hongera Dada una Moyo Mkubwa hata hujaogopa kufika huko!? Angalia usijebaki huko uwe Unawatangazia

phineruge
Автор

It's an ancient ceremonial place.

jpmugishapps
Автор

sio uchawi, ni tamaduni zetu za kiafrika ambazo wakristo walivyokuja kutuandaa na ukoloni, waliituaminisha kuwa huu ni uchawi... NI UAFRIKA ❤

nobertalex
Автор

Huyu dada ana moyo mm nisingeweza kwenda huko walah

husnamtuveta
Автор

Huu uchawi ndio chanzo kikubwa Cha umasikini.

spodo
Автор

mmmh mm alipokuwa anapita huyo mdada tayar niliona mzimu ukimfata kwa nyuma huku ukimiodolea macho af pia nmeona kupitia hii njia ya huyu mdada kuna ndege kubwa sana

chrifordcostantine
Автор

mwezi August kila mwaka duuuu!!! na mwezi huu august 2019 walifanya yao pale morogoro

geraldtarimo
Автор

Mnatenga mda kabisa na gharama nyingi kwa mambo ya kufikilika

josephnjeno
Автор

Jamani huyu mtendaji asiwadanganye toka nazaliwa mwanza nambiwa na ma bibi na mababu gamboshi ni hatari wachawi wote wanakutana gamboshi kwa macho ya kawaida huwezi kuona gamboshi hadi nigeria wanatambua kuna mashule mavyuo na ni sehemu hatari mnu ila wao hawapendi watu wajue sio kama mikoa mingine kama tanga, sumbawanga, au kigoma ila mchawi yoyote ukisema gamboshi lazima atakuuliza unapajua

neemamaela
Автор

Wakarimu asubuhi na mchana kiza kinapoanza kutanda wanakutanda.

paulokilenga