WEUSI: Mdundiko INTERVIEW Part 1

preview_player
Показать описание
LilOmmyTV channel maalumu ya Burudani na EXCLUSIVE interview kutoka kwa masta unaowakubali.

Hakikisha una Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp au mitandao yako ya kijamii (facebook na twitter).

Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Lilommy big up bro.. Unajua sana, ,, interview zako za kikazi sana. Unajua Vitu vingi kuhusu Wasanii. Tunajifunza kwako.

deusgabri
Автор

Lil ommy unafurahisha sana.. Eti pfunk alishinda sanaa..

evancepeter
Автор

Weusi kitu sipendagi kutoka kwao ni swali la nako2nako wanapganiaga kusema nako bado ipo wakati reality nako ipo kwenye coma.acheni kubishana na ukweli wakat wenyewe mnasema mnaji update kila siku.

kaskaziniansgang
Автор

khaaa weusi siku nyingine muendage hata na mimi nikawa fanyiage hizo record za cm!

matendoandrewmgeni
Автор

Mbona bonta mjamaa yupo nyuma sana ani ata kwenye interview za weusi ni mara chache sana kutokea wy?

nassamakaveli
Автор

I think weusi are one sided. They are fans who like true hip hop. And weusi are losing them. They should release 2 songs whenever they want to release songs. Just like Diamond Plantnumz, he knows his market that's why he would release two songs at once.

Mpili
Автор

Kaka nakukubali sana tena sana na nafatilia kazi yako ila Nina shida nawewe no wsp 0715439772

ibrahimmfungo
Автор

Nimuda ilitabiri haya yote, joh uliona mbali

nyalysmswatijr
Автор

Msanii hapo ni joh makini
Wengine ni wasanii wa majina

dkensmopainvevo
Автор

Ni kupoteza mda kuwasikiliza hawa jamaa, no hip hop here

davidndomba
Автор

Hamna kitu hawa jamaa ndo wanaoiua hiphop

Noname-ggbx