SIJAACHA KUFANYA HARAKATI ZA SIASA/ NISHAIMBA SANA/ BONGO FLEVA HAIJATOBOA MAREKANI - ROMA

preview_player
Показать описание
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Let Roma be what he want to be... Imagine since 2007 jamaa anaimba kuhamasisha but no impact

zingahassan
Автор

Roma wadau wako wa hapa kwetu wanasema ukiacha mzik wakiarakati usiwahesabu kuwa ni mashabiki zako

aggreycharles
Автор

Nooo, Roma imba siasa bwana Mambo yanayoendelea yaimbe, ndounapendeza

barakamwasumbi
Автор

We dada mbona unajimanua hiyo unataka nini nahicho kipens

cmantz
Автор

Huyo mtoto mnafiki ... Amemsema magufuli maisha yote leo eti kapumzikaa ...

ellyemily
Автор

Roma ulikimbia Tanzanian na uliisha wai kutekwa wewe kwasababu ya siasa na waliyo kuteka unawajuwa walikupa onyo

jumakapola
Автор

Hivi kuna shida gani alivyovaa huyo mdada? Kwanza hajavaa “pants”(kingereza cha kimarekani wanatamka kama “pents” with T ikiwa silent hivi na kikwao ina maana ya suruali =trousers). Waingereza pants ni nguo ya ndani = underwear. Tusiingize mambo ya dini au tamaduni za nje katika utashi wa mtu kuvaa anavyoona. Kwa uasilia wa mtanzania hilo vazi halina shida kabisa. Toka lini magoti, mapaja, mabega, shingo na uso vimekuwa “private parts?

kiatu