Padre Dkt Kamugisha:Unavyojiona utawatendea wengine/Tembea kama mfalme/Mungu wetu si wa jumapili tu

preview_player
Показать описание
Ni mafundisho ya kila juma kutoka katika kanisa kuu la Bukoba , Mafundisho haya yanatolewa na Padre Dkt Faustine Kamugisha Paroko wa Parokia ya Minziro jimbo katoliki la Bukoba. Mada ya juma hili mada ilikuwa ni Shauri Yake Shauri Yako.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Padre Kamugisha ujaliwe zaidi neema ya kutufunza neno la Mungu Burundi, DRC n'a Dunia nzima tuna kufwata

GhilainBalola-zqld
Автор

MUNGU akuongezee maisha marefu Padre ninainjoi kwa mafundisho yako

jacquelineshirima
Автор

Namshukuru Mungu kwa neno ninafunguliwa

neemaalberto
Автор

Baba unanibariki sana Kwa mafundisho mazuri❤

FredrickMzuma
Автор

Baraka kwako kwa kweli injili tunaipata.

jaqualineobuchi
Автор

Mungu ni mwema sana kwangu, kwa mahubiri yako father naponywa sana. Ubarikiwe!

theresiakapinga
Автор

Asante mtumishi kwa somo zuri BARIKIWA sana

gerald
Автор

ninapona kwa maubili ya padri F.kamugisha

audaxrutta