BINTI CINDERELLA - PART 02 - SIMUILIZI YA MAPENZI

preview_player
Показать описание
Nilipokea simu ya chiba ,akasema ushafika home?nikasema yes ww je?akasema nipo hapa bdo ila kwenye gar ,nikasema nambie, akasema jamaangu uko sawa ww?nikasema kwa nn?akasema mbn umemind sana kusemwa vibaya nyamizi vile?yani umemjibu kavu mwanamke wa maisha yako kisa nyamizi mzee kuna nn kinaendelea apo mzee?unahisia gani na nyamizi mzee baba?.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama wewe ni mwanamke mnene kama nyamizi gonga like hapa tujuane

nrquigq
Автор

Jay hii simulizi ya bint Cinderella naipenda mpaka nairudia Mara nyingi hakuna my engine yaani kama Jimmy alivyompenda nyamiz akawaona wengine wabaya basi sawa na mm

bokkdsi
Автор

Mim ndy ugojwa wangu wanawake wanene kama wanawake wanene mpo nawapenda sana ❤❤❤❤

hamadramadhan
Автор

I love binti Cinderella i can't wait for part 3or until the ends
Anko jay you're have amazing voice

MopaoHuseni
Автор

Anko jay simulizi zako nzuri MashaAllah. nashukuru sana Kwa simulizi zako nikiwa na stress nasikiliza simulizi zako nakisha moyo wangu unatulia sana.

ReginaMwenzelatifah
Автор

Aisee hii simulizi kiboko umeisimulia na hisia kama zote yani inavutia aswaaaa❤❤❤❤❤

mummyrukaya
Автор

Bonge nyanya driving me crazy seriously😂😂 hii part imenichekesha sana😂😂

joyceroyal
Автор

Yani simulizi ya Lissa mwalla ni 🔥😂🤣🤣🤣 ahsante Ankojay 🙏🙌

girukwishakaclaudine
Автор

Hogera baba kwa simulizi zako mzuri na unajua kupamba simulizi anko Jay nakupenda ❤❤❤❤

alinaswemuziya
Автор

Story mzuri jamani hongera sna mtunzi na msimuliaji pia unasauti mzuri😊

qjigbwn
Автор

Nnaam the actor voice ankojay the king of wuuuwi❤❤❤

SumayyaahMuzzammil
Автор

Kwakwer ankojay napenda simulizi zako zimeniteka sanaa mbk nikiwa na mawazo mbk nasahau km namawazo yanatol yote napenda simulizi zako ❤❤❤

sarahdamsoni
Автор

Kikorea: nyadusliro kihindi: kuchu kuchi hotahi bonge nyanya duh boss tunaye ❤❤❤❤

tinershayo
Автор

I like this story God bless you Mr handsome anko jay

buewreh
Автор

😂😂😂😂 Anko jay unatudangany kijeruman kusem i love u nd bonjour, bonsoir 😅😅😅 Mungu wangu unanifurahisha ❤❤

AnithaArakaza
Автор

Simulizi hiyi nitamu sana nairudiya kilasiku Mungu akubariki sana Anko j

josephine
Автор

❤ l love simulizi nzuri sana waiting for your good one part three soon from Kenya 🤝 waiting 😊😊🎉❤😮

mildredalivitsa
Автор

Yani anko jey unajua kutupa burudani mana sio kwa vionjo ivo nafurahi sana yani nikikusikikiza uwa najichekea kama mjinga 😂😂😂❤❤❤❤

WaridiTambi
Автор

Lissa ❤❤❤ story zako ni next level yaan una feel kabisa na ni uhalisia haswaa Nakwambia
Kuna muda nahisi Lara1 wa jamii forum ndugu yako mna maandishi mazuri mno 🎉🎉

cesiliakessy
Автор

Jaman nimecheka na I love you ya kijerumani mimi 😅😅😅😅 sema uncle unatisha saaana 😊

Stephanie-mpnn