Mbosso - Tamba Magufuli (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Wimbo Maalum Wa Kumpongeza Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli Na Chama Cha Mapinduzi (CCM)


Follow Mbosso On:

#wasafi #mbosso #ccm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

MAGUFULI BABA LAO kwa maendeleo Watanzania 🇹🇿 kiboko ya vilaza nyumbu Sacco's wamepoteana, , CCM oyeeee🇹🇿🇹🇿🇹🇿

henryndosi
Автор

Mungu ibarikii nchiiy yangu na wa tz wotee 😍😍😍😍😍😍😍😍🙏🏽

maryamjuma
Автор

Walio sikia MAGUFULI kaja na tiba sindano.... Tujuane Wale WATANZANIA wanao mpenda RAISI MAGUFULI na NCHI kwa ujumla..
Respect 🇹🇿
Love 🇹🇿

obagoabhiathan
Автор

sifa tele kwa rais magufuli. kama unapenda kazi ya mbosso piga like tukisonga

streetkingke
Автор

Leo nimewahi.. Wangapi mnamkubali Magufuli gonga like hapa tujuane..🙏

emmanuelmasunga
Автор

Mbele kwa mbele kama Ccm gonga lilke za kutosha kwa Mbosso🤘🤘

ditricknyamika
Автор

Magufuli nipo kenya..ila ningekua mtanzania ninge kupigia kura kwa kazi unayoifanya.asante Mbosso

amandakayitesi
Автор

Ambae ana uhakika kwamba hii nyimbo inaenda kupigwa kwenye mikutano gonga like hapa tusonge mbele

Sakaboytz
Автор

Mbosso ameweza, gonga like ya wasafi.

ChipmunkUniverseZ
Автор

Mbosso jaman unajua mpaka yan mpaka yan unaboa yani

dawillygene
Автор

I love tanzani...yaani kila msanii katoa Nyimbo kumpongeza Rais wao...come to my Country hehe hakuna ata mmoja

silentbreezeview
Автор

Magufuli baba Lao Mimi siko mutanzania ila namupenda uyu raisi mungu amulinde mumupe Kula zenu kwawingi

asahalashe
Автор

Kenyans love Magufuli. #BlessedTanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Big tune @Mbosso.

mckellyant
Автор

Chama wenye chama chetu tujuane mapema kwa kuweka like ap🙏🙏CCM#NA_MAGUFURI

mjubah_jr
Автор

🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Kinshasa town, muziki mzuri sana, congratulation kwa raïs wenu, amefenya kazi kabi.

freddydengi
Автор

Jamani sijawai pata hata like 1..
Hapa langu sikio....fungeni maturubahi, wara amtupi shida!
Taaaamba🙏

IZATVIzalenician
Автор

makufuli yuko juu sanaa jamali nawaomba mpigieni kura arundi tena na tenaa mm naogea hvi kutoka kenya

mohamedtolly
Автор

Mbosso kaua mazee, anayebisha ni mchawi.Gonga like kwa Mbosso akeee!

danielynyanda
Автор

Yaani Mbosso hukoseagi kabisa.Much love from Kenya💚💚💚💚

briankenyan
Автор

Nomaaaa, Kama Unamkubali magufuli, Gonga like twende Sawa

davidtemba