PUTIN anatamani Kamala Harris ashinde Urais wa Marekani, adai anapenda kicheko chake

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kaongea hivyo ili Marekani iongozwe na mwanamke ili awacheke😅😊😅

Fgldesigns
Автор

Putin always support Trump hapo ameongea kwa akili kubwa sana

salumuselemani-kmee
Автор

Mzee asiye na mambo mengi wakati mnatoa jasho ye anatoa tumeno anapigana kama hapigani huyu mwamba ni malaika 😊😊😊😊tunakuhitaji baba huku Africa

AFRICA_D
Автор

Putin anapenda kuendelea kuwanyanyasa na sio kuwa marafiki

NassorKhamis-rvif
Автор

Hio ni kama Kinyata alivyo mpenda Ruto ashinde ila akajifanya kumuunga mkono Odinga 😂😂😂

sonnyr
Автор

amesema hivo ili kwenye udukuzi asionekane kuhusika

jacksonngusi
Автор

Kwa maslahi ya marekani Trump atawafaa zaizi ila kwa waamiaji kamara atawafaa kama mm ningekuwa mmarekan ningempa Trump

chanelle
Автор

Hiyo ni akili kubwa, unadhani Putin anamaanisha hivo?

MichaelMathew-jf
Автор

Putin na Trump ni marafiki sana, kuna fumbo kubwa juu ya maneno ya Putin, time will tell

Mubarak_
Автор

Mm naona yeyoyet tu coz wote kwangu hawana maslahi nawaona sawa tu

SaidHassan-otun
Автор

Uchaguzi tata sana wote wanaushawishi mkubwa kidiplomasia ila harris atashinda

levispaultitus
Автор

Anajua democrat ndio wanamfanya azidi kupaa juu duniani

chabrumachabruma
Автор

Huyu Ni Putin bana anaakili mingi kma Mimi anacheza na hao Trump Ni rafiki yake kbc

EmanuelMinja-fvdn
Автор

Putting anaonesha ubabe kua haogopi kitu ndio maana ya kusema anamtaka hars lakin kiuhalisia tramp ndio mtu sahihi kwa urus

AbubakariMfinanga
Автор

Hawamu ya kwaanza trump alixhindana na mwanamke akapita nahii ya 3 atapita big up mzee wa comedian kurudi kwenye kiti cha urais tumemic comedy zake😂😂😂

princekiwia
Автор

Maneno yakisiyasa ayo.mimi ata putin ana mpendekeza Trump dona.

nyotaramadhani
Автор

Mimi naweza kusema ni mind game

Mr standard seven

amosmakabara
Автор

Ila huyu bibi mzuri kweli. Tabasam lake m5asahau kila.kitu na italeta amani

GabrielSky
Автор

Putin ana jeuri sana yani uyo wanaemtaka wao nayeye pia anampenda😂😂

MohammedBwanga
Автор

Labda mjomba Putin anataka kuoa mwaka huu e😂😂😂😂😂

JacksonMartin-pbvq