VURUGU NA TAMBO ZA BABA LEVO NA ABDUL NONDO MBELE YA CAMERA YA WASAFI TV

preview_player
Показать описание
#GOODMORNING
#MSUMARIWAMOTO
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kumbe Baba Levo ni Mjanja sana bhana..!
Hongera sana Baba Levo...

thomasmwaruka
Автор

Baba levi kajiby swali vizuri sana kuhusuana udiwani na maslahi

benburner
Автор

Waha wenzangu wana taniana safi sana nimeipenda sana mbarikiwe

brunomirambi
Автор

Nimekupenda bure Baba levo, kamanda tosha.

allyngazi
Автор

Nimwanachama wa ccm but napenda sana vijana wanaojiamini kama Nondo

hassanalawy
Автор

Tunapenda sana upendo wenu mnavyo pendana

sagandamalechampullo
Автор

Baba Levo kuwa Muungwana basi ..kusema demu wenu yule dada ni kumkosea heshima.
Acha utoto huo

gabrielmoses
Автор

Full comedy, , ,,you young guys fanyeni Sanaa tuuu itawasaidia

bobjulieoneheartband
Автор

Huyu baba Levo, ameenda hovyo Sana kumwita dada watu alikuwaga demu wao,
Kibinaadamu hii sio powa kama ni mke wa mtu sahz na anawatoto

mtimkavu
Автор

Nondo ana cheka in a vibration way buaaahaaahahaaaa

allykabelwa
Автор

Baba love unaniuwa mbavu eti wamemuekea pazia apite

kidjhdf
Автор

Kwa usajili wa Kampuni, Jina la biashara, Nembo ya biashara (Trade Mark), NGO, s, Churches, Barcodes kwa ajili ya bidhaa zako, Kubadili jina la Kampuni/ Biashara, Kubadili wamiliki wa Kampuni (Directors), Annual returns, International NGO, s zinazotaka kufanya kazi hapa Tanzania na mengineyo yahuduyo Kampuni tupigie sasa 0786 660 202 KARIBU SANA TUKUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU SANA NA WELEDI WA HALI YA JUU

soundstream
Автор

nachokikubali kwa baba levo ni jinsi anavyoweza kusema ukweri

pmixtv
Автор

Mtaelewa tu mwaka huu na mashati yenu hayo ya COVID 19

sylvesterchristopher
Автор

Huyu nondo ndo anachekaje sasa hivyoo!!? Mbona km anatufokea

edetridiswilliam
Автор

This kid is genius though, but my vote is for CCM

videozaaj
Автор

Huyu Nondo ni mtumwa wa fikra hata ukimsikiliza utaona hayupo pekeyake utamuona zito kabwe kwenye mawazo. Hii ni Aina ya utumwa ambayo ni mbaya zaidi. Ajira kwenye kilimo! Yeye mwenyewe hana hata bustani vijana tuwe makini jamani.

shosemakupa
Автор

Ni kama nimeskia utopolo apo...🌚🌚🌚🏃🏻🏃🏻🏃🏻

jamesjjoseph
Автор

Nondo bana eti "wanabendera nyingi kuliko wanachama"😂😂😂

rashidhabib
Автор

Wanaoamini kama nondo angegalagazwa na baba levo mtalaam fundi majumba niachien like zangu apo

yoramswagala