Umalaya so adi uwe wa kimapenzi ni vile tu MTU unavyofanya leo huku kesho kule hawaeleweki
emanuelmwanga
achen ushamba mlisha ambiwa kupanga ndio kuchagua alafu pia safar huwa ina mambo mengi sana kwa hivyo nisahihi wema kurud ccm pia msipende kuandika madhaifu ta mtu kumbuken mnavyo mnyoshea kidole kimoja vitatu vinaangalia wapi
MarcomiaMarcomia
aaah, cxhangai maana n mwanamkee wanakosea ndpoo kuubwaaaa mama mzur, mremboo, , , wowwoowoooo kuleeee, , , , kumbee makalio yakee yamejaaaa na umalaya keel wema malayaaaa, , , had vyama unahamaa hamaa, , wamexhampgaaaauti vya ktoxhaa nendaaaa upelekee, , , , umalayaaa huko hukooo
mollelybarakaarusha
Amekua Malaya mpaka kwa siasa bado kidogo tutasikia kaenda CHAUMA
bathromeochengula
pole pole upo sahihi hata sisi chadema hatuwezi pokea MTU wa kutoka na kurudi hiyo sio siasa ni ujinga
stansloussfaustin
umerudi kwa mme wa kwanza awezi kukuamini labda umerudi na sumu itaakuumiza sana
nashonsospeter
NINGEFURAI KUCKIA UMEACHANA NA VYAMA, ITAPENDEZA DADA, KOZ ULIKORUDI MWANZONI ULIONA HAPAFAI, AU BORA UNGEENDA CHAMA KINGINE AU UANZISHE CHAKO. KUWA NA MSIMAMO ITAPENDEZA!!!
kisabomakori
Yaani huyu Dada alipohamia CHADEMA nilimwona anajitambua kumbe ni kitumbua tu cha mama ntilie kazi kwake kwanz amejidhalilisha ktokuwa na msimamo dhabiti yaani huyo angehukumiwa kwa madawa ya kulevya angeichukia CCM mpka kufa kwake, wananchi wanazidi kuumia huku ila 2020 tutajuana
r-boymnyange
Uyu wema fisadiii sana uyu bora amsaidie lulu uyu sie alie sema kafany Kazi ccm alafu hajalipwa uyu nyoka muongooo bora kesi iyendeleee tu ya madawa yk na itakua huvut bangi t ata unga unabwiya ww karibu tutakukuta na matambara km mm cikupokei ww ccm nakuacha ulale vibaeazani km vile teja
tumasaleh
Amezoea kubadilisha wanaume kama nguo na chama kageuza kama wanaume anavo badilisha hana msimamo
umranim
Alijuwa chadema wanagawahera siwalikususa kwenye kesi sasa wamekuona hutumii madawa au hauvuti bange?
bobshide
ccm kumbuken wanapoondoka ccm wanaondoka kwa mbwembwe na kashifa nyingi harafu mwisho wa siku narudi nyumban ilitakiwa watu wa aina hiyo chadema tuwakatae ccm muwakatae hawa wanatuchezea akili
stansloussfaustin
Mwana mke msimamo marauku mara uku ulivo ondoka ulijua tuta tishika wee vp kaondoka kingunge sembuse wee karibu ila ndani kwanza huingii uka barazani kwanza upimwe maana hukawii kutimka wenye akili wapo ccm chama la wana karbu sana wema sptu utuliege na ww
askofuaroyce
ccm mmeanza kuwapokea tena wauza madawa ya kulevya mnachekesha nakumbuka kauli ya mkuu alisema wapinzan kazi yao kupokea waharifu
stansloussfaustin
Tatizo Dada angu sura inakudanganya kwa kufkr nikienda sehem watanipenda tu, uzur Wa mwanamke ni tabia, kiukweli Dada angu tabia ya umalaya inakushushia heshima xana, use ur time proper, ua huchanua ua hunyauka
lubimbijoseph
Me cmlaumu coz wanamfanyia visa dats y aliandika anataman kufa so bora arud tu akae kwa aman
ibrahimally
Malaya huwa hawatulii sehemu moja.kule kaona soko lake limeshuka hanunuliki atakufa njaa.ndo mana anamegwa na kuachwa kila siku kwakuwa hana msimamo.business zake zinakufa hana msimamo.acheni aende demokrasia inamruhusu.ila kajishusha sana kukosa msimamo
saitotisaitoti
kwa ushauli wema, siasa ya tz ni mizinguo tu bola ukakaa na kufanya biashara zako kuliko kuumiza kichwa na siasa za kipumbavu
josephmwita
hawa watu wanaofanya upumbavu wa kuhama hama vyama ovyo bora waekewe ukomo , ukihama mara moja hamna kurudia tena kama ilivo dini ya kiislam ukitoka umekwisha na wasio waislam wakiingia uislam wanakubalika wakitoka tena hawakubakili kabisa
خديجهالبيماني-نح
kwan wema alikuwa na nan ccm rudi hko hko ulienda mwenyewe sasa unarudi ili pole pole hakuna kumkubal hyo mtu aende chama kingne sio ccm