#LIVE MAULID KITENGE AKITAMBULISHWA TENA EFM NA MAJIZZO

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

So far wasafi sports arena ipo vizuri sana Paul mkai mkali wa dimba namkubali sana bila kusahau George ambangile

audifacejosephat
Автор

We kweli kitenge... Ungekuwa kanzu ungejitambua sa kilikupeleka nn wasafi mzee na heshima zakoo? Bora umerudi kwenye heshima yako

jumanguya
Автор

Wasafi matangazo mengi kuliko michezo 🙏🙏🙏

mwitatz
Автор

Manshallah umebalikiwa sauti ya utangazaji

zinahhuu
Автор

Kipaji Cha high quality, , mungu azidi kubarik kazi yako brother maulid barakah wa kitenge😊🙏🙏

nickvonmusic
Автор

Kama karudi EFM kweli dunia duara. Lakini aliharibu umaarufu kwa kuondoka kwa vurugu na kule tulijua hataweza kudumu ngoma ikivuma ila ajitahidi awe na TV yake na yeye aache kutegemea kuajiriwa kila siku.

ashaali
Автор

Broo waganakukubali sana mzee wa sports arena

jacobjacksonjackson
Автор

Mmmmhhhh sitaki hata kuamini mbwembwe zote zile za Wasafi karudi huku dah

isunga
Автор

wow ur back to ur perfect sports chemistry safiii,

millanpirror
Автор

Manara ajifunze ukitoka kwa wema ipo siku utarudi na watakupokea kwa wema

zabronnkoy
Автор

Dah Maulid karudi kwenye Radio ya watu wazima wenzie kule alikuwa anacheza na watoto tu

OfficialA
Автор

Kipii teeena kmemrudishaaa🤣🤣🤣wawe wanatwambia kama limanara

chollejr_
Автор

Manara ashasema kilichocho mkimbiza simba na wewe ni kilicho kukimbiza Wasafi🔻🔹🔺 mzee au na wewe mikataba imekukimbiza

ramadhanyusuph
Автор

Jma Ana jua lakini wasafi fm kwenye soka now Wana chambua vizuriii zaidii

emanuelymushi
Автор

Aliko kitenge na mm nipo timu mond mtuachie ndugu yetu

miriam
Автор

Huyo mwanamke anaonekana akupenda ebu mtanzame

florentinvitus
Автор

Kumbe kule ulaya walipokua na Oscar ilikua ni kazi maalum ya kumshawishi arudi E.? Mmetisha sna kwa kuona pengo la kitenge halizibiki na kuamua kumrudisha home.. ila jamaa nyota yake ni hatar sna tunamshauri akitoka hapo akafungue kituo chake ushindani uwengezeke

mursallusinde
Автор

Mi nilijua umepata tenda marekani kocha mchezaji kumbe upo bongo tu daah.. Lakini now wasafi ipo poa sana kwa uchambuzi kuna ambangile, edokumwenge.

Hanskapella
Автор

Nilijua kaanzisha yakwakwe kumbe bdo anahangaka kama bata

KANKONO-ib
Автор

His voice gives him a bigger bag
🤑🤑🤑🤑

johnco