MAOMBI YA KUKEMEA ROHO YA MAUTI NA NDOTO MBAYA, #BY PASTOR GODWIN NDELWA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nakataa ndoto xa mauti kwa watoto wangu na familia yangu katika jina la Yesu 🙏

adelacaryn
Автор

Ninakata ndoto za mauti kwa mtoto wangu kwa jina la yesu mungu mwenyezi ninaomba uwalinde watoto wetu🙏🙏🙏

Africanah
Автор

Shallom. Katika JINA la YESU kristo nakataa. Kila roho za mauti kwa MAMA na BABA mzazi. Na hata maisha yangu Amina.

FelixAlbert-hsls
Автор

Naomba kuvunja maagano ya giza madhabau ya giza toka katika jina la yesu kristo Amen 🙏

Christianchazinho
Автор

Nakataa Roho ya mauti kwa mama angu ndoto zote zakuota amekufa ninazikataa kwa damu ya yesu mama angu hata kufa ataishi ayasimulie makuu ya mungu ataona kizazi cha kwanza adi cha nne amen

rehemajayden
Автор

Nakataa rohooo ya mautiii kwa jina la yesu

winnieangelo
Автор

Bwana Asifiwe. Nakataa roho za umauti na ndoto za umauti kati yangu na familia yangu katika jina la yesu, Aminaaaa 🙏🏽

DarvelKnowles
Автор

Nakatàa roho ya mauti Kwa watoto wangu

rithajohn
Автор

Nakaa roho za mauti kwangu, kwa mume wng, kwa watoto wng na familia yng ktk Jina la Yesu Kristo, Amen

DEVOTHAKIKOVE
Автор

NAKATAA ROHO ZAMAUTI MIMI PAMOJA NA FAMILIA YANGU KWA JINA LA YESU AMEN

JoslayAlexander
Автор

Naharibu roho za mauti kwajina na yesu kristo🙏 simama na me bwana yesu

AngelEzekiel-xldp
Автор

Nakataaa roho ya mauti katika jina la MUNGU wangu aliye hai, neno lako linasema katika zaburi 118 kuwa sita kuwa bali nitaishi nami nakila kuwa sita kufa mimi wala uzao wangu tutaishi AMEEN

joyceisack
Автор

Amen napokea uponyaji nafuta ndoto zote za mauti

jacksoldier
Автор

Nakataa roho ya mauti katika maisha yangu na familia yang Kwa jina la yesu kristo

DainaPatrick-ol
Автор

Nakemea kila roho mbaya ya mauti Na ndoto zakurudi nyuma Kwa Jina la yesu Christo Alie hai 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 I will not die before my time in Jesus name 🙏🏽 my children and husband will not die before there time in Jesus name 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

sophiehammond
Автор

Ameeen asante Yesu barikiwa Mtumishi wa Mungu kwa maombi haya

samid
Автор

Nakataa roho yamauti kwenye familia yangu nakataa ndoto zakuota watu waliokufa Kwa damu yayesu amina

BettyChola-ueed
Автор

Nakataa loho za mauti katika jina la Yesu kristo . Ameni

Husna-qm
Автор

Nakataa roho yamauti kwa Familia ygu in Jesus name, I command fire in Jesus name

ClareKwamboka-gzpm
Автор

Nakataa ndoto xa mauti kwa mtoto wangu na familia yangu katika jina la Yesu

ReginaAsha