Mishahara ya wachezaji wa Simba mwisho wa mwezi | Yanga kwasasa ipo vizuri kuliko Simba SC

preview_player
Показать описание


Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tupunguze jazba. Bora kujikita katika kutafuta maisha bora ya Dunia na Akhera.

salimharrasy
Автор

SUBHANNALLAH HAPA WAPATA MAJIBU YA ALLAH BORA UHANGAIKE NA KUSHABIKIA ILMU NA AKHERA YAKO UTAJUA WASUBIRI MALIPO MEMA YA AKHERA BORA SHABIKIA FAMILY KUIYEKA SAWA KWA MAISHA YA DUNIYANI NA AKHERA LEO HUNGEUMIA DAHH HIVI WASHANGILIYA KITU HUNA FAIDA NACHO KWA LOLOTE MTIHANI MKUBWA WALLAHI DUNIYANI KUNA VIUMBE WANATESEKA BILA SABABU ZA MSINGI ALLAH ATUONGOZE JAMIAL ISLAM NA WASIO WAISLAM MUNGU AWAONGOZE IHDINA SIRATAL MUSTAQIM YARAB AMIN 🤲

muhammadsaidi
Автор

Yanga Wana spirit Sana tofauti na Simba wachezaji hawajitambui kabisa

reubenismail
Автор

Yani nyinyi mnataka mshinde kila siku, dah sio kweli

shabanigeluka
Автор

Tz tuna makocha wengi San lakin nashangaa Tim zetu hazifanyi vizuri sijui Kwann.

ayubukhamis
Автор

laiti na dini tungekuwa na uchungu nayo kama hivi, inna lillah wainna ilaihi raaajiuun.

aminarashidi
Автор

Sasa mwalimu anacheza ndani?? Watu wengine hovyo kweli

yahyamajidyahyahilalal-har
Автор

Kwa hili sio mwalimu tu hata baadhi ya wachezaji hawajitumi

godfreybitakama
Автор

Hivi hawa wa shabiki wanaakili au wehu yaani mshinde tu? Sio mpira huo acheni ujinga

selemankishema
Автор

Aliali tipa mazembe na midosandani ndio timu gani hizo?😂😂😂😂😂

AbdulAbdul-prqe
Автор

Shida wachezaji wa Simba hawajitumi kabisa!ukilinganisha na wachezaji wa yanga

reubenismail