JINSI YA KUPIKA PODINI TAMU SANA KWA NJIA RAHISI(CARAMEL PUDDING)

preview_player
Показать описание
Liknk ya website 👇

Mahitaji na vipimo vyote pamoja na maelezo muhimu mutayapata kwenye website.

Juana nami

❤❤❤
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Assalam Alaikum warahmatullah wabarakatuh ... Wa bake for how long?

ibrahimissa
Автор

Assalamu alaikum hio unapoweka kwa oven waiweka moto wa ngapi?? Mda ngapi?
Shukran kwa recipe

halimaahmed
Автор

MashaAllah moto wa juu pekee???ama.juu na chini

bintialfan
Автор

Daaah banaa kila nikijaribu linatoka majiiii, hata nimechoka kulitengeneza

awadhmessi
Автор

My sister kama hakuna oven tunaweza tumia njia gani nyengine ?

abdulrahmanabubakar
Автор

Hujasema tunabake for how long and how many degrees?

cynthiarehema
Автор

..moto ni vip apo juu pekee au juu na chin afu apo cjaelewa Mbona Kama kuna maj kene sahan tufahamishane vizur

salmasalehe