Moyo Series Episode 1

preview_player
Показать описание
Moyo ni hadithi inayoelezea kisa cha vijana wawili Prince na Gabriel waliotokea kumpenda mwanamke mmoja, Cherry. Prince anawahi kumpata Cherry na kumtambulisha kwa rafiki yake, lakini Gabriel anaonekana kutofurahia jambo hilo na kuamua kufanya maamuzi ya kuanza mbio za kumpata mwanamke huyo huyo. Je, ataweza? SONGA NAYO... (Episode 1)
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kiukwel adamu upewe mauwa yako🎉🎉 kak unajua sana, bro

IddyMohamedy
Автор

Nimeanza na kicheche, shemeji, kinyozi, mwajuma nipe na sasa nipo na moyo kwa kweli kaka Adam unanipa moyo wa kuendelea kuangalia series zako ilike it so much😗😗😗

leylaali
Автор

Mashallah filamu zenu nzuri sana zenye mafunzo💯🙏

aishaali
Автор

Nampendag xaan cherry nilimuona kweny move moj2 ya uhuru kama Judith napendag swaga zakee

hakiamaliki
Автор

Hongera Sana bro una utunzi mzur movie zako aziboi ni🔥🔥🔥🔥🔥

levinaleonard
Автор

Mashaallah naacha ADI MDA wa kupumzika Mimi na filam mzidi kamzidi mwenzie

nasermeme
Автор

Huyu kaka kama mwanamke vile. badala ujitongozee ukubaliwe ama ukataliwe. wewe unapondea kweli wewe kiboko.mbaya sana.safi uko na maamuzi poa sana dada

nativeinfotv
Автор

Hii sirias ni nzury sana na ni mwazo to mtie bidii.🙏

ShadrackOdera-hyey
Автор

Nashukuru kaka basi Mungu akubariki sana

muhammadbamus
Автор

Wow hongera kaka kutoka 254 .... Kesho sasa nawatch kisasi changu

mirriamnyamai
Автор

Nice Movie, keep it up! We need more series!

sammyanania
Автор

napata funzo kumbe huwezi kumshawishi demu kwa kumuharibya mwenzako ni bora ujitete kivyako

just_ne_-jO
Автор

Duu wewe kaka mbaya sana unamponda rafiki yako 🙄🙄

halimasulaiman
Автор

Uwa sipendagi mtu aende kumtongoza demu wangu afu aniponde c utie mavoco yako fara ww ukikatariwa sawa na ukikubariwa sawa

imanipatric
Автор

Adam aliyekurogezea wanawake kakuweza .maana mh

nativeinfotv