WADUDU WANAOLETA UMASKINI NYUMBANI, KUWA MAKINI

preview_player
Показать описание
#wadudu #umaskini #ipmmedia Wadudu wanaoleta umaskini nyumbani kwako..Ukiwaona ujue nguvu ya umaskini imetawala nyumbani kwako.

wadudu
umaskini
mende

@IPMMEDIA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mwalimu wangu kiukweli kumbe hawa wadudu ni wachawi wa umaskini atlist nimejua

ZipporahZippy-ngrr
Автор

Paya Mende kunguni wadudu wabaya tena ni hatari

RebeccaMungure
Автор

Panya hta kwa dini yetu ya kiislmu amelaaniwa na Allah kwkua alikula maasahaf yaan kitbu kituku cha Qur'anil kareem

SheikhAbdull-ysfd
Автор

Kweli mwalimu, hawa ñdiyo wadudu wa nyumbani kwangu, n'a kweli umaskini umetanda pote mpaka kula kwa shindwa, asante nimeelewa mwalimu

MammyMasikamulengera
Автор

Asante sna dada au mwlim, nmepta kujifunza mengi kuhsu wadudu hawa

SheikhAbdull-ysfd
Автор

Asante sana kwa elemu yko madam/mwalim

SheikhAbdull-ysfd
Автор

Waaah imagine hawa mende ndiyo wamejaa penye nipo jamani 😢

josephmlazier
Автор

Yani penye kunguni hapo dah hatar nanusu unaweza uhame nyumba

mensonymbugano
Автор

Kikweli nilchkia sna mjusi na mende, angalau ckua najajua kuhsu mjusi ila nmejifnza vyma sipaswi kmuuwa mjusi

SheikhAbdull-ysfd
Автор

Kweli 🥺 kabisa juu ya mende , ndo maana 😢aki mungu wangu 😭

monicah
Автор

Nmewaona mende nyumbani kwangu lkn wote wamedondokaa chaleee wote 7 miguu juu hii ina maana gani naomba majibu

IssackaMdota
Автор

Ila mende na panya nawchukia sna tngu kale, mende mddu mchafu nae pnya hasiidi mkubwa

SheikhAbdull-ysfd
Автор

Cha ajabu Mwalim kila mede akiingia kwa nyumba ya ngu uaguka tu na kukufa sielewi nini ina wauwa nisaindie na maobi pia

faithmwende
Автор

Wee mrembo mbna kama ndo uko kule Kwenye page ya universal energy

joasjoel
Автор

Samahani m na mwona mjusi Kila cku anaingia ndani ucku ni mdogo nisaidie plz

PaulinaJoseph-xh