Ushindi: Watu wengi Korea Kaskazini wanaamini Kim Jong Un ni Mungu #northkoreas

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

❤mrembo huyu anajitahidi kuongea kiswahili very good 👍

MasnamussaPp
Автор

Safi sana umeongea kiswahili
Nakupenda dada karibu Tanzania 💞

zebedayokatamaduni
Автор

Bundala respect kwako respect kubwa sana kaka 👊👊👊👊 mpo

OnesmoEphrata
Автор

Hongera sana kwa kuongea Kiswahili vizuri sana

viatorykashabizi
Автор

She is indeed intelligent in her speech

emmanuelwafulakhaita
Автор

Bravo baby girl you tried talking swahili🎉🎉❤welcome 🙏 🤗 😘 Kenya

MilaKavwai
Автор

Walete tuwe family moja tz hana umbanhuzi warangi wala kabila yupo vizurisana kuongea na tapata marafiki.wengitu❤🤝

Aisha-ov
Автор

Wonderful Kiswahili okay. Lakini kim jong un ni king wangu ✨

vandrossluther
Автор

ndjo turu y'a kwanza minaona mzungu anaogea kiswahili😊😊

Bryantmugabo-lvri
Автор

Kaka sky kwakweli chuki baina ya North and South imefanikiwa sana

POLITICS_WAR_DIPLOMACY
Автор

Kim jong un me nampenda balaaa anamsimamooo kama magufulii

MbalasaJRMwakabalile
Автор

Simulizi na Sauti nawapenda mno kuliko chombo cho hote cha habari mtandaoni. Mpo vzuri sana kwenye haya maswala

YouTuuuuuuube
Автор

Hawezi kusema siri ya nchi yao huyo ni muongo😅😂 Korea kaskazini ni nchi Tajiri sna kuliko America❤❤❤

saidambarouk
Автор

Mbona wenzetu wanajitahid sana lugha zetu sisi sasa tuongee kinge hapa😂😂😂😂😂

frankmlalila
Автор

Ma Sha Allah mlembo anaongea kiswairi ila wadda watz wanajifanya awakijui ruga yao

MsNajma-je
Автор

She's seems very bright kama unabisha nifunze kikorea alafu uongee kama yeye anavyoongea kiswahili😅

allysudi
Автор

Kashaolewa huyo mbona bomba sana kuweka ndani chuma kama hio inaburudisha sana

mohdhilaly
Автор

Aseme.pia kama nchi yake pia Korea Kusini ni miongoni mwa nchi zenye madeni makubwa duniani na hua watu wengi wanajitoa uhai kutokana na stress za maisha

shabaniramadhan
Автор

Na nyingi kiduku awapendi kwa sababu mpo vibaraka wa Marekani

henryking
Автор

Can we also learn Korea, coz how come them learn Kiswahili but we are not interested with them

kellymumani