VIDEO: TAZAMA MAPOKEZI YA NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO GEITA, NI KUFURU

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tunakutegemea Mh. Biteko utasimamia haki congratulations 👏

EliauMtishbi-osky
Автор

Haters wamejaa hapa!! LOL na bado ! Wanafiki! This is fantastic!!! Mama Samia Kijana has a bright future ndani ya CCM, if you can’t beat them, join them ! Karibu CCM

rickyjames
Автор

Ktk teuz zt Mama apa kalamba dume !! Uyu jamaa ni mzalendo sana

jacksonmtonyore
Автор

Naichukia sana kazi yanga nafanya kwa malengo afu kuna watu wanakuja kuitumia vibaya namna hii mfano umeanguka apo hutapata msaada wowote zaidi ya kulaza njaa familia yako Bodaboda tujieleweni bc daaah

wizzyjtz
Автор

Badaboda wamepewa mafuta lita mbilimbili kuonyesha shamla ya mapokezi😂😂😂😂😂

DautchGogo-fbcm
Автор

Nyota njema huonekana alfajiri misemo ya wahenga aseee natamani awe rais wetu badae

abdirizakibrahim
Автор

Apige kaazi tuu kwa juhudi na bidi na kwa. Uzalendo then mambo yake yatajulikana balaabala

henrykepha
Автор

Kweli watanzani bado sana sasa hii nini sasa Mungu atusaidie tu😭😭😭😭😭😭😭😭

omarylada
Автор

Haya ni matumizi mabaya ya fedha za kodi ya watanzania, ivi naibu waziri mkuu wa nini na wakati majaliwa na mchapazi mzuri tu tangu enzi za magufuli,

andrewkissavah
Автор

Jamani naibu waziri mkuu wanini kwanini kodi za watanzania zinachezewa wazi wazi kweli ccm hatamngechagua mawaziri 1000 hamnajipya mlishafeli mebaki kuruka rukatu

robertphilip
Автор

Jamaa kama analemewa na ugeni wa UHESHIMIWA.

mashaurivicent
Автор

Huyu Samia huyu anahakibu sana hata kama angetaka sangewapa wale Waze .wakina kabudi au lukuvi au angendereya mwenyewe majaliwa huyo naibu anakazi Gani

johnman