MCHUNGAJI HANANJA ATOA ONYO KALI NYOTA NI USHIRIKINA. MASHIMO NI MTABILI WA MPIRA. [01]

preview_player
Показать описание
#kagoziprotv #mchungajihananja #subscribe
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

NASADIKI kwamba nyota cyo ushirikina, NASADIKI kwamba niudhihirisho wa utawala wa MUNGU mwenye enzi katika maisha ya wanadamu, mtu anasiyeamini nguvu za nyota anaonyesha wazi kuwa bado yupo kwenye utumwa wa fikra, mtu kama huyo fikra zake hazijakombolewa, japo yupo huru kimwili lakini nimfungwa kiroho, , mababa wote wa imani, Ibrahimu isaka na yakobo wote waliamini katika nyota

josephkiwale
Автор

Nimekombolewa na maombezi yako baba ananja, ubalikiwe sana baba namungu akupe maisha malefu sana, niko pamoja na wewe kila siku baba,

BabaWaziwa
Автор

Haleluya! Mch.Hananja wewe unao, tena ni mkombozi wa Nafsi(fikra) chukua maua yako babaa...

elibarikimollel
Автор

You are a Star... He is a Super Lugha involves the reality of our life... Itabidi nijifunze asili ya haya maneno Labda ntaambulia kitu

brightcommcleaning
Автор

Mungu akipee maisha marefu mch hananja, uendelee kutuelimisha maswala ya kiungu.

SamuelKarisa-md
Автор

Mungu akupe maisha marefu utumegee maarifa zaidi mch. Hananja

nemeskulaya
Автор

Waovu Wana kuchukia sana, maana wanawatesa Wana wa mungu na kuwapofusha macho ya kiroho wakiongozwa na roho ya kahaba mkuu anae ongoza Dunia kwa upotoaji wake wa neno

YohanaRichard-ep
Автор

Ushirikina ni utakatifu uliobadilishwa/kubatilishwa na kutumiwa na shetani.... But kila anachofanya shetani ama washirikina vimetoka kwa Mungu.... Ushirikina ama ushetani ni kuiga vya Mungu na kuvitumia kwa njia Kuna inverse relationship kati ya ushirikina na Utakatifu.. sadaka, damu nk

brightcommcleaning
Автор

mungu akubariki sana mchungaji hananja

dankhany
Автор

Mmmm Danieli 12
3 Na walio na hekima watang'aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang'aa kama nyota milele na milele.

renatusmtakyawa
Автор

tunafika tumezimia miguuni kwamungu 🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂

Muheramaneva
Автор

Alafu anaesema yeye ni mwanafunzi wa mastai kweli ikawaje mbona afanani kama alifundishwa na mastai .maana mastai ninae mfahamu yule ni mpakwa mafuta haswaa wa Mungu yule ni kkkt kanisa la kiroho.yuko vizuri haswaa nadhani hata yeye atakuwa anamshangaa ananja anaubiri vitu gani

PamelaNdlovu-otdo
Автор

Narudia unapopambana kuweka udhaifu wa wengine wazi unadhihirisha ulionao na unadhihirika kwa kiwango kikubwa,
😅😅😅😅😅😅😅😅
Wanaojua vzr siri hizi hawana mpango wakuwafunua wenzao

francofrederick
Автор

Mmmm. Mathayo 2
2 Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.

renatusmtakyawa
Автор

Uchungaji feki ko waganga wanavijua sana vitu vya siri husomi maandiko

festinamwakipale
Автор

Watu wavivu kuchunguza maandiko ndio maana wanadanganywa, na wataendelea kuwa vipofu na walimu wao vipofu.

YohanaRichard-ep
Автор

Bora ulivostafu ungetuchanganya wewe unahesabu.mizoga kwenye vita hatuhesabu maiti ukiishi ukiangalia watenda dhambi unaweza ukavurugika

festinamwakipale
Автор

Mtumishi MUNGU akubariki unatufungua akili

DeboraNeno-so
Автор

Acheni Mchungaji Hananja awafunde Matapeli walioibaka dini kwa sababu tu ya tamaa zao na uchu wa mali ya hapa duniani. Anachokisema ni KWELI. Mwenye akili atamuelewa tu.

simonndaro
Автор

Mmmm Mwanzo 37
9 Akaota tena ndoto nyingine, akawaambia ndugu zake, akasema, Angalieni, nimeota ndoto nyingine; na tazama, jua na mwezi na nyota kumi na moja zikaniinamia.

10 Akawaambia baba yake na ndugu zake; baba yake akamkemea akamwambia, Ni ndoto gani hii uliyoiota? Je! Mimi na mama yako na ndugu zako tutakuja tukusujudie hata nchi?

renatusmtakyawa