Mbosso - Limevuja (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Get The Album Now 👇🏼👇🏼

What Is Love?
Every person has his own Definition Of Love
The answer differ due to everyone's experience
But I brought to you my own Definition Of Love
Which is available on my Album
Kindly listen to DEFINITION OF LOVE
You will either get the meaning through my language or the melody i used!
Enjoy!

From DEFINITION OF LOVE Album
Bonus Track 13 - Limevuja

Follow Mbosso On:

#definitionoflove #mbosso #Limevuja
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

na wewe kama penzi lako limevuja kama langu basi tufajiriane kwa like tu😞😞😞. Ngoma yangu pendwa hii nimisha chagua🇺🇸

mukaplatnumz
Автор

Wanaosema Mbosso ni SharKhan wa Africa kama mim gonga like ✅

ashirievara
Автор

If the live performance of this song brought u here, ily😂😢❤

fearlessdinah
Автор

Tuliorudi kuangalia elfu mbili 2025 tujuane sawa

AngelBeauty-fw
Автор

Langu limevunja Leo na amesema ashakutana Naye, mnifariji kwa likes

webotv
Автор

Nitarudi kuona hii comment baada ya miaka kadhaa kumkumbuka mpenzi wangu Agatha 😥🤧😑
Kwa sahivi Penzi limevuja 😫

kaneba_b
Автор

Mara kwa mara ulilia kifuani umenilalia ukijuta unayechukia yaleuliopitia eti kama mimi hujaona wakufanana nae hasa mbona hukusema kama ushaa kutana nae
Napulisa majivu maana moto siyaoni😥😪😪😥 inanihappening sahii kama wewe ni mwenzangu nipe like tukisonga

GettOFamily
Автор

Wcß wameshindikana Africa 👏👏👏 like za mbosso hapa✨✨✨

mattanofficemusc
Автор

Eti kama mm ujaona wakufanana nae sambona ujasema kama usha onananae maneno mazito ayo dah😭 nipeni like namm team mbosso

ramoki
Автор

Njoo tufarijiane hapa kwa like mapenz ya sasahiv yanavuja San 😭 😭

reginaphilimon
Автор

Kwenye moyo wako livae penzi langu mbosso khan shukurani wapi likes za mshedede🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

marshommy
Автор

😢😢 jamani kumbe tumevujiwa wengi 😭 asante mboss nakupenda Wasafi tuwaache tuuu💃😔😂

didskimosakimosa
Автор

It's 2024 lakini tunaomba kama inawezekana mbosso utoe video ya huu wimbo coz it gain much popularity this season

vulstanandrea
Автор

Mara kwa Mara ulilia, kifuani umenilalia..
Ukijuta unayachukia Yale ulopitia..
Eti kama mimi hujaona, wa kufanana naye..
Sasa mbona hukusema, kama ushakutana naye..
Napuliza Kooni Maumivuu.. Ahadi za Mbivuu.. Lile penzi tulivuu

Aah! Napenda sana... ❤

asirajay
Автор

Salamu toka mombasani .. wenye kuuguwa .. nipeni vibe hapa .. TEAM MOMBASAAANI

seedofmelanin
Автор

Mbosso isn't pregnant but always delivers🔥🔥🔥

mohammedkidody
Автор

Lile penzi tulivu Leo lipo kikaangoni 💃💃💃💯💯💯💯💯💯👌

halali_ya_naseeb
Автор

Yeah hivi mtu akujibu sms zako siku 8 mm nimelivunja acha livuje tu no way out 😂😭😭😭😭😭😭😭😭

DativaDativo
Автор

Mara kwa mara ulilia, kifuani umenilalia aaa, ukijuta unayachukia yale uliopitia, Eti kama mm ujaona wakufanana nae sa mbona ukusema kama ushakutana nae...ilifanya niliea..

AgnesAgnes-dfcl
Автор

Am here after watching mbosso Yamaha guy is very talented, big up @mbosso khan mabrook 👏👏

luludebz