WEMA - Carmel Youth Choir Tz, OFFICIAL VIDEO

preview_player
Показать описание
Karibu kutazama Video ya WEMA kutoka kwa Waimbaji wa Kwaya ya Vijana CARMEL.

Hata siku ya nane akaagana na watu, nao wakambarikia mfalme, wakaenda hemani kwao, wakifurahi na kuchangamka moyoni kwa wema wote Bwana aliomfanyia Daudi mtumishi wake, na Israeli watu wake. 1Wafalme 8:66

Kwa kutenda Wema mioyo ya watu hufurahia hupata faraja Amani na utulivu. tenda Wema kwa kila Mtu na Mungu atakubariki.

Composer: Joseph Daud Mutta
Arrangements & track: Joseph Daud Mutta
Audio studio: Amen studio
Producer: Jonah
Video director: Marcozaky
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongera sana @Carmel youth Choir. Hongera Walimu Joda & Hery & Safiel & n.k, Hongera sana Pr Rodgers & Masterguide Mbura🎉🎉🎉🎉

obediboniface
Автор

Classic and fantastic rhythm praise be to the Lord @carmel youth choir

farijimwakajila
Автор

Mungu awabariki sana amen bila kukusahau ndugu yangu Garson steven Mungu akuzidishie kipaji ❤❤❤❤❤❤

TigressRich
Автор

Mbarikiwe sana kwa utume huu❤. Hakika tunabarikiwa kupitia wimbo huu bora na mzuri🙏

musagibu
Автор

Wimbo mtamu sana
Mungu awabariki sana🙏

ElizabethRyoba-bnbq
Автор

Hivi ni viwango vya maana kabisa Mungu awabariki 🎉

dominiccharles
Автор

Nimebarikiwa na wimbo huu MUNGU awabariki mfike mbari sana mkaitangaze injili

AllysonDevid