STEVE MWEUSI UNASEMAJE WEWE

preview_player
Показать описание
#comedy #stevemweusi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu mwamba, mume wa Kidawa aah nakubali sana ni pure actor hakuna scene anapewa akakosa kuitendea haki, anajua

andrew
Автор

Watu wangu kwma mnamkubali mweusi ka mie tujuane kwa kugonga like much love from Kenya❤

aswaneliphas
Автор

Hii tunahitaji muendelezo haki, nimemupenda shemeji anavyo dondosha moja moja waaah!mupo vizuri sana 😂😂😂😂😂❤❤❤

omarisaria
Автор

Wanawake wanapenda kusifiwa, eti baby vipi mbona umeacha kunisifia hahahahaaa Kidawa wa watu

andrew
Автор

kika ndege hutua kwenye mti haupendae😂😂😂ata mbuyu ulianza km mchicha😁😁😁

show...
Автор

Steve family Iko na watu wenye nguvu ya Sanaa..hili Lanivutia sana. Kila mmoja wenu kacheza nafasi yake vizuri. Hongera

simmonkaranja
Автор

Steve wakati nambeba huyo mama na boda akienda kwake nilitamani nikuombe namba mzee nakukubali...

frankmwaikambo
Автор

Yaani mboga imejileta yenyewe nyumbani halafu linaondoka😂😂😂😂....

kijanayaaput
Автор

Huyo jamaa unaemwita kaka jina lake nani, anajua mpaka anajua tena duu

andrew
Автор

Mbele siku zote .
ONE LOVE FROM KENYA. 🇰🇪🤗

francismuthiani
Автор

Kizazi cha kamchape 😂😂😂😂
Na chandarua chenye Dawa

Japhet-cc
Автор

Steve nakupenda sana kaka yangu hafu hyo nguo uitupe inagundua saw kk😂😂😂😂😂😂😂

JipemoyoRizik-jlgx
Автор

Hongera bro kwakaziyako nzuri munguazidi kukupa nguvu Steve

rahmah
Автор

How I wish Steven Moses was a Kenyan😂😂😂, what a talent!!!, tujivunie nasi pia

Bradleycarlostawai
Автор

Am watching from USA love you guys watoto wa nyumbani tz am Rwandan but love my Africans

GM-opsl
Автор

Yani Steve mweusi ni Bala Kalis yani. ❤❤❤

OmariRa-byhh
Автор

Steve the King Of New School Comedy🎉🎉🎉🎉

rogerslwitiko
Автор

Nampenda huyo dada kalete viti sana ❤️❤️❤️💋💋

boazcharles
Автор

iyi kali kabisa Steven wewe mkali 😀😀😀🤣😀😅😅. Naomba iendeleye iyi

NathanMerci-fzmr
Автор

Yaani we Stive, duu umenichekesha kweli.

alanusnganzi