MO DEWJI ATOA TAFSIRI YA LOGO MPYA SIMBA,AWAPONGEZA NA KUWASHUKURU WOTE,'LOGO NI NZURI SANA'

preview_player
Показать описание
#logompyasimba #modewji
‪Tunawashukuru wote mliotuma maoni yenu mwanzo wa mwaka yaliosaidia mpaka kupatikana kwa nembo mpya. Huyu SIMBA mpya anawakilisha maono yetu ya klabu ambayo ni ari ya kupigana na njaa tuliyonayo ya kuendelea kushinda na kuwa bora zaidi! #AnotherLevel 🦁 #NguvuMoja ‬
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Logo bomba. Ubunifu wa Jezi bado. Hakuna jipya

johnnkurlu
Автор

Tumshukuru Mungu tuzidishe maombi na mshikamano kwa timu yetu

abbassmshaury
Автор

Mlitaka tumie njano mo tunashukuru uwepo wako mungu akulinde

oswadlujombo
Автор

Simba SC nguvu moja jezi nzuri san mwaaaa

magesaelikana
Автор

Inaashiria usasa zaidi kadri siku zinnavyo kwenda, "yes it's another level"

johnjuma
Автор

Boss tuletee vifaa za kimataifa tufike nusu fainali

burengwamisri
Автор

Hebu tamka vizuri hilo jina badala ya (spoti klab) unapaswa kutamka ( spos klab)

angumbwikemrope
Автор

Iyo logo nzuri ila jezi ndo zile zile tyu

mudzobyser