CHANZO HIKI HAPA KIFO CHA MUIGIZAJI GRACE MAPUNDA |AMEFARIKI HOSPITALI YA MWANANYAMALA

preview_player
Показать описание
#gracemapunda #R.I.PGRCEMAPUNDA

Muigizaji nguli Nchini Tanzania Grace Mapunda anayejulikana kama TESA kwenye kipindi cha HUBA amefariki Dunia asubuhi ya leo akiwa anaendelea kupokea matibabu hospitalini.

Familia yake Imethibitisha Kifo Chake ,lakini pia kupitia wasanii wenzake kama @jimmymafufu na @idrissultan wameonekana kuhuzunika na taarifa hizo kutokana na machapisho yao kwenye mitandao ya kijamii
Taarifa zaidi zitafuata
Beti na @helabettz
Follow ukurasa wetu wa Instagram @matukioonlinetv
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nyieee 😭😭😭😭😭😭😭 hajafa jaman itakuwa amezimia tu jaman grace wanguu jamannn

DoriceEdward-ls
Автор

Mbona wasanii wanaisha jamn Allah atupe mwisho mwema

zuwenaabdallah