Ndelah - Niache (official Video)

preview_player
Показать описание
#niache #ndelah
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

THANK YOU GUYS FOR YOUR SUPPORT, GOD BLESS YOU 🙏 🙏

_ndelah_
Автор

Ndelah Ndelah nakuja Kwako hapa in 2024🔥🙌

mansouromary
Автор

ndelah ni wa moto kinoma unajuwa pia uimefanya Kaz nzuri sana ase kaka

ShaddyPromise
Автор

We jamaa unakipaji sana aisee Mungu amekupa hicho kipaji kwa kusudi maalum acha tuvute subira tuone Mungu alicho kiandaa kwaajili yako. 🙏

midas_msemakweli
Автор

❤️❤️huwa nafurah kusikiliza nyimbo zakoo hujawahi niangushaaaa inshallah mungu akupe nguvuuu my lovely brother 💪💪

zeenatmasih
Автор

😥😥😥...!!.Haya ndio maisha ninayo yawaza mie..!!😥😥😥

mzurzamzam
Автор

☃️☃️....HII SONGS KILA NINAPO ISIKIA INA NIFANYA NAUMIA SANA ILA ULIFANYA KAZI

mzurzamzam
Автор

Bro kusema ukweli unajuwa sn bro, we kaza tuu Siku moja Dunia itakutambuwa...👊👊👊

ombeniruvubika
Автор

Nice song ila kwa wakati mwingine ukipata ngoma Kali Kama Hilo Bora umtafute msanii yeyot aliye kweny ramani uimbe nae au umuuzie kabisa ili kupush mzigo 🙌🙌🙌

vickmalota
Автор

ngoma uliyofanya na profesor jay imenifanya nikutafute huku.jamaa unajua sana

fevactv
Автор

You’re so talented bro I wanna sponsor you let me know what you think.😢😢

mrjay-tzofficial