NDANI YA BOKSI: Licha ya kuburuza kila siku, Tufan amkubali zaidi Emir

preview_player
Показать описание
Kutana na kijana msanii aliyeigiza sauti ya #Tufan katika tamthilia ya #KaraSevda, pamoja na mambo mengine anatukumbusha safari yake hadi kuanza kazi hiyo ya kuigiza sauti lakini pia kwanini #Emir amekuwa msanii bora kwa upande wake.

Usikose kutazama kipindi hiki kila Jumapili saa 12:00 kupitia Nyumba ya Burudani #AzamTWO ukiwa na Halima Shebuge pamoja na Danny Bandezu.

#Tunakiwasha #WeCreateTheBuzz #NdaniYaBoksi #KaraSevda #KaraSevdaSwahili #KaraSevdaAzamTV #KionjoKaraSevda #TufanKaraSevda

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dany na dada halima mnafanya kazi nzuri

angolilemwanja