jinsi ya kufungua Email kwa kutumia simu yako

preview_player
Показать описание
#gmail #facebook #tiktok #youtube

#how_to_create_email_by_use_mobile
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Leo nimeweza kufungua account yangu kupitia wewe, ubarikiwe sana

latifa
Автор

Alama tatu ukisha bonyeza play store kwangu haziji

KabakaChoisa
Автор

Vpi unaweza kunixaidia kujua imeli ya cim yang na pasuwad

DanielSugwa
Автор

Mim password nimesahau na lain niliyojiunga, na email ilipotea jee nifnyejee hapo

nadyaahmed
Автор

Mimi nikiingia tick tock kununua coins wananiletea password ya imeli na sim nilinunua kwa mutu imeli sijui

HamimJuma
Автор

hiz alam 3 mbn czion lbd unisaidie nion

tausihatibu-eujz
Автор

Nataka unielekeze jinsi kubadili email address

mohamedshaaly
Автор

Mm naomba nijue jinsi ya kuactivate account

tinakimaro
Автор

Unaweza kutumia email mbili ktk simu moja?

ramlamburi
Автор

Sorry nina cm 2 nataka ntumie gmail 1 inawezekan ?

bahatijafary
Автор

naomba namba zako kaka naitaj kujifunza zaid

sostenesswai