Mbosso akiimba wimbo wa Kumkaribisha Mtoto wa Diamond na Tanasha Duniani

preview_player
Показать описание

Follow Mbosso On:

#wasafi #mbosso
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimejikuta namwaza mama angu aliponizaa kwenye shamba la mihogo akiwa peke ake mama wangu

simonequintine
Автор

I dedicated this song to my wife and my baby almost here just pray for us.❤

princeochilo
Автор

🔥🔥🔥sana👍👍👍 Kama unamkubali mbosso gonga like 🇰🇪

basamfaiz
Автор

Nakukubali mbosso love sana gongalike 254 za mbosso tujuane

yuusufnuur
Автор

Mbosso is Diamond's favorite, always performs at his functions. Insanely talented guy.

simeonkwendo
Автор

Woow Mbosso you really have talent. I respect artists who can sing free style comfortably.

gideonalechebichy
Автор

Hii nyimbo kali. Kama Unaona kama mimi gonga like

macksonjuma
Автор

Oh my God I loved Tanasha and Diamond😭😍💕this song

lonahlonstar
Автор

This song was officially released but I'm still madly in love with the live performance.😍😍😍😍

lizzwatua
Автор

Nan yupo hapa baada kuiskia hii ngoma kwenye album ya mbosso @definationoflove

ellymakongo
Автор

🇰🇪 Kujeni apa tulie ju ya tanasha wetu 😭😭😭, wale tunawatch hii after break up.

hellennthiwa
Автор

Waoh I Just love that part babayo anamskiliza mwanae aty anamgonjea is like iko real Father is telling the son everybody is waiting for the little Lion 🦁 and today the boy ako 10 month old 😍😍♥️♥️♥️

ashavinnjoki
Автор

Wangapi wamekuja hapa after mbosso kuiachia rasmi hii ngoma kwenye album

luwayyussuf
Автор

Mbosso truly sings from the heart .Truly talented

jeremymakokha
Автор

Waliokuja hapa baada ya kuachia albam yake like twende sawa

kidstz
Автор

2021😥😥😥😥😥😫😫😫😫whoever the person that separate you two, my God forbid haki😥😥😥😥

lindaclarah
Автор

Anayeangalia leo 19 _ 5 _ 2020 gonga like

hamzamoshi
Автор

Alie rudi hapa baada ya kuiskiliza karibu tujuwana.🔥🔥🔥💓💓

omarmulla
Автор

Diamond na Tanasha they looked nice together. Katika nyimbo zote za Mboso huo wimbo ni first class mzuri sanaa. Keep it up Mboso. Rythim iko bien. Name of the song?

Kwazulu
Автор

Please record this song..I keep coming back to it because it's beautiful!

kevinoloo