Manula, Diarra nani kuibeba Derby ya Kariakoo

preview_player
Показать описание
Wasikie wachambuzi wa #AzamTV kupitia kipindi cha #Viwanjani Rashidy Hamis na Abdulqadir Seif wakichambua nafasi za magolikipa Aishi Manula wa Simba SC na Djigui Diarra wa Yanga SC kuelekea kwenye #KariakooDerby hapo Jumapili Aprili 16, 2023.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wachambuzi mume bezi kwenye upenzi wa Manura mnasahau Diara ndo alie kuwa kipa wa unbeaten za Yanga.

gadsonenos
Автор

Saasa hvo kujitupa kama nyani ndio kudaka muna jizungurusha tu Diara ni Bora sasa kama hasev Sana s anajuwa kupanga beki

kassimomar
Автор

Hapo naona uzalendo umemtawala huyu mchambuzi kuliko uhalisia,

ains