Hatimaye LULU na MAJIZZO wafunga NDOA, Wala kiapo na kuvishana PETE kanisani, Hivi ndivyo ilivyokuwa

preview_player
Показать описание
#Lulu #Majizzo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Woooow finally..kimya kimya..naipenda sana hii couple...wanajielewa sana..maisha kuna vitu private na public na hawa wanalitambua hili

kekiplusandonly
Автор

Big up Boss Majizzo
Boss asiye kuwa na makuuu wala sifa nimependa sana
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇸🇦🇸🇦🇸🇦
aka bachuchu mombasa

khamisshee
Автор

Best news Today for me from Sns.. Easy come easy go!!!! Goodthings take time..congratulation LULU

maryannqueen
Автор

Wow! Finally! Mungu awalindie ndoa yao🙏🏽

hopechidera
Автор

Hongera Sana umepitia mitihani mingi hatimae umeolewa pumzika Sasa Elizabeth Michael #lulu

subiraomari
Автор

Hongeren sana mungu awalinde mtuletee huyo G waukweli now

Emmy
Автор

Wow...👏👏👏hongera Sana mdogo wangu mungu akulindie ndoa yako...🙏

nindymuruga
Автор

Hongereni sana.

Mubariwe mpate watoto wa kike na wa kiume.

seouliteawon
Автор

Wambea wa Insta walikuwa wakimuuliza @lulu_michael kuwa ataolewa lini. Now ameolewa utasikia "wataachana tu." Wabongo hatunaga jema 🙌🙌

Anyway congratulations Mr and Mrs Majizo.

isikesamike
Автор

Congratulations majizzo ulimpenda uyo dada na ndio maana umevumilia mawe amekuwa akipiwa lulu hujamuacha kwa makubwa madogo hongera

linetmachoka
Автор

Hongera sana Elizabeth Michael may God bless your union

clarisgambo
Автор

Mashaallaah allaah awape.maisha marefu mpendane daima

mariamsuma
Автор

Masha Allah wow this is beautiful I am happy for your God blesse your more l am watching from Kenya 🔥🔥❤❤😘😘🙏🙏🇰🇪🇰🇪

sheilamjune
Автор

Wazaaa ubora hivyo kaolewa Sasa tuone walisema lulu kadoda haaa watu kwa bifu zao mungu awa baliki Sana ❤️❤️❤️nifurahisana

officialzu
Автор

Lulu anajielewa sana majizo nae yupo vizur mana mmh wamewasama sana inshallah mungu mwema awarinde na ndoa yenu

zakyahya
Автор

Hongereni mungu awabariki ndowa yenu daima milele kama mulivyo vumiliana uchumba bas NA ndowa pia mukavumilianeni kila la khery nawatakiya ❤️❤️👈

thuwaibaabdallah
Автор

MashaAllah, Allah awajaalie Kheri katika safari yao ya ndoa InshaAllah

marinamooh
Автор

Pongezi nyingi kwa Mr & Mrs Francis...Mungu ailinde ndoa yenu siku zote za maisha yenu...🙏

angelmashauri
Автор

MashaaAllah MashaaAllah vizuri sana Allah awpe malewano

kibibirama
Автор

Muzuri za ndoa ya wakristo, hakunaga talaka hapo nimpaka dear

francineiragi