Ringa By Timatsi x Master Kimbo(Official Music Video)

preview_player
Показать описание
#Ringa #Timatsi #MasterKimbo
Another hit song from Timatsi x Master Kimbo. Please guy let's support,don't forget to Subscribe,Like,Share & Comment.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kali sana bro aminia mungu siku zote #katambeeee

lilmizze
Автор

Motooo moz tach salute sana #kimbo #timatsi

doubletlacs
Автор

Naikubali hii ngoma iko juu sana! Leteni zaidi za KIMIJIKENDA tuzidi kuboresha utamaduni wetu

JescaKahindi-wu
Автор

Ipo juu ii ngoma brooz, , kimbo ntampataje mm nko kilifi, chumani

rajabkiti
Автор

mkali wa kuchana, Master Kimbo baba yao

gabrielnyambu
Автор

Ipo siku Master Kimbo Mungu atafungua milango yako vizur

lennoxnzai
Автор

Am for this na pia kujiona apa... Anwei congratulations tima mungu akupeleke mbali

janetmwalimu
Автор

Master master mc kimbo general...nakukubali mkali

daskoboy
Автор

Salute kwa sana, Timatsi noma, Kimbo Baba lao, zhondoha o bridge ya Mtwapa🤣

teddyiha
Автор

Kimbo baba ww ndio umenifikisha hapa morali sana timatsi

kassimngumamsomali
Автор

Bidii Sana timats big up, alafu kimbo kinyama Sana cylinder master

EDDYWAYNE
Автор

Keep pushing Master Kimbo. Ana sauti adimu kwenye game. He is a legend. Long live Kilifonia 🔥

DewkStats
join shbcf.ru